Tram Almasi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 748
- 227
Hapo kwenye Red, Watu8 nimecheka mpaka basi. u made my day! kumbe yale wanayosema kina wifi wana-control ndoa za kaka zao sometimes huo ukorofi unatumika kama ''positive therapy' sio?Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
huu ndio mfano wakuigwa EEEEEEEEEEE, kunena kwake ,kutembea kwake, kunaonyesha ni mwanafunzi wa YESUSasa si mke wake au unataka aje akukule wewe?
huu ndio mfano wakuigwa EEEEEEEEEEE, kunena kwake ,kutembea kwake, kunaonyesha ni mwanafunzi wa YESU
akili zakushikiwa hiziutakuwa una ugonjwa wewe......!!!
Basi watu wasinywe dawa wakipata matatizo.....!!!
akili zakushikiwa hizi
Ushauri wako wa pili nimeupenda.
Ukorofi kaanza lini? Kama mwanzo hakuwa hivyo basi nakuhakikishia there is something behind her ukorofi! Nakushauri mpeleke kwenye maombi na mtaftie psychologist huenda ukatatua tatizo lake. Angalizo pia kwako, huenda wewe nawe ndo sababu ya ukorofi wake, jichunguze pia na kisha uchukue hatua.
mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini sijui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
aksanteni
Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
hahahahahha chizi huyo yan sina mbavuHapo kwenye Red, Watu8 nimecheka mpaka basi. u made my day! kumbe yale wanayosema kina wifi wana-control ndoa za kaka zao sometimes huo ukorofi unatumika kama ''positive therapy' sio?