salaaam wanajf hope mu wazima,,
mim ni ke jaman,nna mpenzi wangu naamin ananipenda nami nampenda ,mim nna kazi nae anayo lakin anataka aache sabab hawampi salary yake tang aanze ana nusu mwaka lakin wamempa mwez mmoja tu.
no.1,tatizo mpenz wang anataka nimwambie
matumizi yangu yote ya mshahara hata kununua nguo,kusuka yani kila kitu,na anataka tuchange hela tuanze biashara kumbka ni wapenz tu,
no 2,kuna malengo alijiwekea moja wapo ni mwakan aje kwetu apose na atoe mahari.sasa mpenzi hana kazi ya uhakika nawaza akija nyumbani ataweza kutoa mahari atakayopangiwa au tusubiri akipata kazi ndo tuanze mipango?mwenzangu analazimisha tufanye sa naogopa tusije tukaaibika kwa kulazimisha kitu,na anasema lengo lake moja likishindwa kutimia si ntamsaidia litimie??kweli sijui nifanyeje nisaidien kimawazo!!
Mim naona suala la mwezio kutokuwa na kazi sio tatizo kama anaonyesha jitihada za kufanya biashara, wew mpe moyo wakati akihangaika kutafuta kazi asikae tu ajishughulishe na biashara.
Suala la mahali, wew ni binadam sio bidhaa kwamba unazwa ivo lazima uwaeleze wazazi wako ukwel kuhusu hali ya kifedha ya mwenzio, sasa kama na wew utataka sifa ya kutolewa mali nyingi basi hapo bwana kaka imekula kwake, la msingi wew ndio unajua hali ya mtu uliyemchagua.
pia suala yey kufuatilia matumizi yako hapo ni shida, mkubaliane kuchanga kiasi kila mwezi ila ile akiba yako asifuatilie maana hy niya matumiz yako bin a FSI kama mwanamke.
ushauri wangu ni huo tu.
So far umepata fursa itumie wengne wanalilia fursa kama hz. kama ana nia ya dhati hvyo vingne vinazungumzka. Ukidengua hapa I promise unaweza kukaa zaidi ya miaka 5 bila kupata anaetaka kukuoa tena hata pale utakapokuwa umetaka wewe.
Mim naona suala la mwezio kutokuwa na kazi sio tatizo kama anaonyesha jitihada za kufanya biashara, wew mpe moyo wakati akihangaika kutafuta kazi asikae tu ajishughulishe na biashara.
Suala la mahali, wew ni binadam sio bidhaa kwamba unazwa ivo lazima uwaeleze wazazi wako ukwel kuhusu hali ya kifedha ya mwenzio, sasa kama na wew utataka sifa ya kutolewa mali nyingi basi hapo bwana kaka imekula kwake, la msingi wew ndio unajua hali ya mtu uliyemchagua.
pia suala yey kufuatilia matumizi yako hapo ni shida, mkubaliane kuchanga kiasi kila mwezi ila ile akiba yako asifuatilie maana hy niya matumiz yako binafsi kama mwanamke.
ushauri wangu ni huo tu.
Kitendo cha kumfungulia thread inatia doa hayo mapenzi yenu , tena ukizingatia ndiyo bado mpo kiuchumba tu.
Jitafakari unataka nini , na siyo humu jamvini tumekuambia nini.
Alaf tunatafuta sababu kwnn ndoa sikuhizi hazidumu wanawake wenyewe hawa