Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

Si useme ulikuwa unapima faith yake tu mwanaume ukakosa kitu cha kuweka hapo? Ama ukane useme shemeji anatabia mbaya huo ni uongo?
 
Pathetic halafu n watu wanaunga mkono hii nchi Ina wanaume wa ajabu haijawah tokea
 
Ongezea hapo na House girl
 
Tongoza na mama mkwe ujijengee heshima kwenye ukoo.....
 
Chagua kimojawapo hapa

1. Endelea kukaa kimya...
2. Mwambie mkeo hutaki kumuona tena shemeji yako hapo kwenue maana anataka haribu ndoa yenu which is obvious maana hata kama umemtongoza kweli angekuchimba biti wewe peke yako kimya kimya pasipo kupeleka maneno kwa dada yake...

Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
 
Mzee baba kwa nin uliruhusu uyo mjane aje apo kwako ?

Na inategemea ulimwaga voko kwa namna gan kama ulichat nae ama kuongea nae akakurekodi huna namna ya kuchomok apo zaid ya kuomba msamaha t.

Lakini kama hakuna ushahidi wowote wa kuonekana kuwa umemtongoz uyo dada basi kataaaaaa kbs yaaaan
 
Sema sio mbaya umejaribu sema kipa kapangua😆😆 next time atakufurahisha.
 
Kamdomo Mzee kamekuponza...kabla hujafanya jambo fikiri mwisho wake kwanza.
 
achana nae ikiwezekana timua baki na watoto wako tafuta mwingine au fukuza shemeji yeye anainjoi maisha anashiba anawapelekea wadau wanakamua tu
 
Wewe ni mburula wa kutupwa. Nenda ukweni ukajieleze yaishe. Ila kuna watu mmna ujasiri kuliko shetani aisee.
 
Hongera weee ni mwanaume kamili. Tena wala usiwe na presha wacha mke anune sii ujinga wake mwenyewe kuruhusu mdogo wake aje hapo kwenu.
Wee endelea na mambo kama kawaida wanakunyima mbususu wewe nenda tinder badoo mbususu zipo bwena tuu mwanawane
 
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe na mwanaume mpumbavu hii inakaaje?
 
Ongezea hapo na House girl
Tulishakuwa na dada wa kazi wa 2000....nikaona siwezi kuishi naye kwa amani.

Wife akirudi akanikuta nyumbani ninaona kabisa hana Imani ila hasemi....mwisho nikamwambia kazi anazofanya tugawane maana bila kujua aligeuka insecured.
 
Fukuzilia mbali kijana, aende zake tu yaishe! Umebeba jukumu la kumlea analeta zake, akatafute wa kumlea tu, kikubwa cha kwanza kana kabisa kwa mkeo kwamba huyu nduguyo kazusha hutaendelea kuentartain mzushi nyumbani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…