Gwajimanize
Member
- May 30, 2025
- 9
- 7
Yani akubali kuwa kamtongoza shemeji hapo Ni Kuruka tu na Kukataa Wambie shemeji ndio alianza Mitego mitego mimi Nkamuambia hapana ndio akawahi Kutoa taarifa there after Mchane arudi kwa Msela wakePole sana mkuu yatakwisha..dhambi ya usalitj ni mbaya sana...Kuna mawili, umruke shemeji Yako kwamba hujamuambia hizo stories au ujishushe mtoe mkeo out, mwambie achukue anachokitaka, then nendeni hoteli nzuri sana mfurahie maisha hata siku 2 au 3 then umuahidi kwamba hiyo hali haitawahi kujirudia....
We jamaa wewe😂😂😂Unakubalije kirahisi hivyo?
Mwambie amekutongoza ukamkataa akaahidi kukukomoa
Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.
Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.
Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Kama watu wenyewe mchango kwenye uchumi ni ziro utafanyaje.Vijana wa siku hizi hata kutongoza hujui, yaani unamwambia naomba penzi? Andaa mazingira huyo shemeji yako angeingia kwenye wavu mwenyewe tu, ila na wewe malaya nyoko sana, hadi shemeji anakaa kwako unataka kula, nyoko kabisa
Dah alafu kuna wajinga hapa Jf nikikomenti wanasema eti sijielewi sasa huyu shababi mtasemaje sasaNimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.
Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.
Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
We mjinga sanaNimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.
Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.
Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Ubaya ubwela😂😂We jamaa wewe😂😂😂
Nami nimewaza hivyo,huu ni ukatili sana,angemfukuza tuMtu mzima hawezi kukosa akili hivi.
Hii ni chai.
Huyu shemeji yske kajiongeza alihisi wana mtega ikabidi akaseme kwa Dada yake ili kunusulu ugali wake.Eti ili nipoze machungu,wewe jamaa hujielewi kabisa yaani umetuaibisha wanaume wote tuonekane vichaa.
Kwa hatua mambo yalikofikia hakuna ushauri utakaokufaa zaidi ya kusubiria tu maamuzi ya huyo mkeo atakachoamua kama kurudi kwao au abaki na wewe kwa huzuni.
Hatukatai kuna matamanio ya kibinadamu wakati mwingine hutokea kama huyo shemeji ameanza yeye mitego ukashindwa kujizuia ila huwa hawaombi hivyo kama ulivyoomba wewe kwa kumchana makavu live,kuna njia za ushawishi unazitengeneza kisha anajiingiza mwenyewe mtegoni inatokea bila kumkamia na bila kujiandaa.
Yaani hapo uombe Mungu hayo mambo asiende kuwashirikisha wazazi utaabika vibaya sana na mtaa mzima watakuwa wanakucheka na kukuzomea utatamani dunia ipasuke uingie ardhini.
Umeingizwa kwenye mfumo mzinzi wewe.Atakuwa alishamwambiaga dada yake wewe ni malaya kwa jinsi unavyo mtazamaga.Sasa ndiyo akaenda kumthibitishia. Ili ndoa yenu ipone ,Lazima shemeji yako ahame(awapishe) hapo nyumbani.Kwa sababu siyo tu kwamba hofu ya mkeo itaendelea kuwepo ila lazima shetani atakurudisha tena kwa shemeji kuishi hapo kwenu wote.Nimekuwa naishi na mdogo wa mke wangu. Yaani shemeji yangu amekuwa akiishi kwangu yeye na mtoto wake kwa zaidi ya miaka miwili. Huyu shemeji yangu alikuwa ameolewa ndowa ilivyo mshinda akahamia kwa dada yake yeye na mwanaye.
Sasa imefika mahali nikawa najiuliza nitaendelea kutuza familia ya mtu mwingine bila faida yoyote mpaka lini? Sasa siku moja nikajitia uchizi nikasema kwa vile nahudumia kila kitu basi angalau nimuombe huyu shemeji mapenzi ili nipoze machungu ya kulea mama na mtoto wa mtu mwigine.
Basi nilivyo tu jaribu shemeji akakasirika akaenda kumwambia dada yake . Sasa dada yake anasiku mbili ni kulia tu haongei na mimi hata kidogo . Watoto wnauliza baba umemfanya nini mama mbona analia sana, nashindwa cha kusema. Na mimi nimeamuwa nikae kimya siongei na shemeji wala mke wangu .
Naongea tu na watoto. Kila nikimwambia tuongee anakaa kimya na kuendelea kulia. Sasa ndio nimekuja kuomba ushauri kwenu. Najuwa humu kuna watu wengi huwenda kuna mtu kapitia changa mto kama yangu . Karibuni wote kwa ushauri.
Wanaume wengi sikuhizi tuna tawaliwa na Wanawake inawezekana vipi Shemeji kaondoka kwa mume wake kusha jamaa ana muhifadhi ni kosa kubwa sana kalifanya, huyo shemeji yake ilitakiwa arudi kwa mume au Nyumbani kwasababu huyo Mume wake haja mtoa kwa jamaa.Wewe ni mpumbavu!
Kwa vile umeshayakanyaga, fanya hivi kamwe usimuombe mkeo wala shemeji yako msamaha,,,,, mwanaume kamili haombi msamaha , hata kama alikukuta juu ya kifua cha mdogo wake kaza hivo hivo !
Note ! Endelea kutoa matumizi ya home kama kawaida , ikiwezekana zidisha, badili rtb zako kuwa unpredictable, usiwe unashinda home Mara kwa mara,,,, sometimes rudi ukiwa umekula kabisa oga lala,,,, ukiweza rudi za vijizawadi vya wanao wape pita hivi,,, kama una katoto under 3yrs huyo ndo mfariji wako ukiwa home cheza nako basi,,,,yani dili na mambo yako !
Chelewa chelewa kurudi home bila taarifa, endelea tena na tena ! Mwenyewe atajirudi, yeye ndio atakuomba msamaha, then rudi kama zamani mkaripie kwa onyo kali, sio kila unachoambiwa ni kweli ! Kingine tafuta namna huyo mke wa mtu aondoke hapo kwako