Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

Hapo dawa ni moja tu KATAAAA KATAAAA KATAAAAA afu mwulize mkeo yani hata kama ni kuchepuka ungeenda nje huko afu mkuu ebu tupe scenario ilikuaje kuaje tujue tukushaurije😊
 
Hizi dhambi nyingine huwa mnajitakia Tu kulikuwa na ulazima Gani kufanya hicho ulichokifanya? Mlevi na asie mzinzi anakuzidi pakubwa
 
Hawaombwi hivyo, ulikuwa unampa hata zawadi..??
 
Mtongoze tena, halafu mwambie akamwambie tena dadaake azidi kuvuruga ndoa yenu kisha mkiachana na dadake watafute sehemu nyingine ya kwenda kuishi.
 
Ndoa yake kaharibu anataka kuharibu na ya mwenzie kamwambia hili iweje...??Mimi hapo hapo ningemwqmbia haya mdogo wangu urudi tu nyumbani Mambo yasiwe mengii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…