Tetesi: Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu

Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
161
30
Jamani nimekosea kujaza mwaka was kuzaliwa nacte application naweza chaguliwa kujiunga chuo msaada kulingana na uzoefu wenu
 
Usijali utachaguliwa tu kama vigezo vyako vitajitosheleza kulingana na ushindani uliopo na pia unaweza ukaedit ukarekebisha tu huo mwaka.
 
Back
Top Bottom