Nami naungana na wenzangu kusema poleni sana na ndugu wote wapelekee salamu za pole
Siwezi sema Mungu ailaze mahala pema peponiroho au mwili wa marehemu mana sijasoma hata mstari mmoja kwenye BIBLIA ambapo Mungu anasema anawaweka wengine pema na wengine pabaya wanapokufa. Na BIBILIA Inasema wafu hawajui neno lolote so there is no place where some body's body will rest in peace and others not in peace. Huo ndio ufahamu wangu wa BIBLIA.
Ninawaombea wale waiofiwa na ndugu yao Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu. Amina