Happy new year mkuu
Nilikutumia zawadi ya mwaka mpya ukaikataa...! Nawe happy new yr.
stress zimeisha ndugu tangu jana... maana hakuna hukumu ya dhambi kwa hao waaminio karibu na wewe.
Umechagua fungu lililo jema cha muhimu omba neema ya kusimama kwenye huo wokovu maana ukianguka utakuwa mwovu zaidi ya ulivyokuwa mara ya kwanza
Pia jitahidi kuwa sehemu wanayomuhubiri kristo wa kweli na sio hao wasaka tonge wanaojiita manabii!
Hebu wewe kama wewe nieleze maana ya kuokoka...Nini hasa unaokoka nacho..kama kuokoka kusingekuwa ishu njema, basi Yesu asingekuja duniani kuokoa wanadamu. hongera Fake ID​ umefanya uamuzi mzuri.
Hapo sana ni nyang'anywa hela na wajanja tu. (manabii)Kwahio sasa hivi ni mwendo wakuzurura kwa manabii tu.
any way its long story.. natumia simu ndogo siwezi kuandika vitu vingi... lakini ni visasi vya muda mrefu vya watu niliotoa siri zao..
Safi sanaMwaka 2014 nilipita katika misukosuko mingi ikiwemo kukoswa koswa kuuwawa mara kadhaa.. hata hivyo ni Mungu ndie aliyekuwa akinilinda kwa makusudi yake ili nimtumikie na kuwapeleka watu wengi kwa Yesu kupitia kazi yangu.. hivyo jana tar 1/1/2015 nimeamua kumpa Bwana Yesu kuwa mokozi wa maisha yangu.. najisikia amani sana na hofu yote imekwisha..
Mungu awabariki wana JF wote,
happy new year.
tungepata watu hasa vijana 5 kama nyie mnaojitangaza mmeokoka taifa lingebadilika
hongera kwa kuingia kundini na fanya kazi ya Mungu usiache na wala kukatishwa tamaa na wale wasiokoka