Zinduna JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,377 Reaction score 3,394 Dec 20, 2011 Thread starter #21 AshaDii said: Omba access kwa Invisible.... Click to expand... How!? Hebu nimwagie maujanja ya kuwasiliana na huyo Visible
AshaDii said: Omba access kwa Invisible.... Click to expand... How!? Hebu nimwagie maujanja ya kuwasiliana na huyo Visible
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,388 Dec 20, 2011 #22 Zinduna said: Korosho au KONGOSHO.......LOL, nilikuja na korosho lakini ndugu zangu wa hapo Dar wamezigombea, subiri nakuja kula sikukuu huko Dar, nitakuletea Halua, nitakujuza pa kuipata, au hupendi halua wewe!? Click to expand... Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lol Asante (in anticipation)
Zinduna said: Korosho au KONGOSHO.......LOL, nilikuja na korosho lakini ndugu zangu wa hapo Dar wamezigombea, subiri nakuja kula sikukuu huko Dar, nitakuletea Halua, nitakujuza pa kuipata, au hupendi halua wewe!? Click to expand... Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lol Asante (in anticipation)
Zinduna JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,377 Reaction score 3,394 Dec 20, 2011 Thread starter #23 RussianRoulette said: Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lol Asante (in anticipation) Click to expand... Ndio maana watu wa huku Pwani twasema, Halua haina makombo!
RussianRoulette said: Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lol Asante (in anticipation) Click to expand... Ndio maana watu wa huku Pwani twasema, Halua haina makombo!
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Dec 20, 2011 #24 HEART said: Hahahhahaa...hivi haya mambo bado yapo jamani...! Umenikumbusha mbali aisee.. Click to expand... Yapo sana ! We huyapendi au? Mi nahisi huyapingi !
HEART said: Hahahhahaa...hivi haya mambo bado yapo jamani...! Umenikumbusha mbali aisee.. Click to expand... Yapo sana ! We huyapendi au? Mi nahisi huyapingi !
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Dec 20, 2011 #25 RussianRoulette said: Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lol Asante (in anticipation) Click to expand... Hivi Halua inalimwa mikoa gani ? Inakwenda kwa muda upi kupandwa hadi kuvunwa ?
RussianRoulette said: Hivi kuna binadamu hapendi halua? atakua ni wakwanza. hasa zile zinakuja with nuts inside... yummy! lol Asante (in anticipation) Click to expand... Hivi Halua inalimwa mikoa gani ? Inakwenda kwa muda upi kupandwa hadi kuvunwa ?
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Dec 20, 2011 #26 Zinduna said: Ndio maana watu wa huku Pwani twasema, Halua haina makombo! Click to expand... Alaa kumbe! na Halua nayo haina makombo? Basi kumbe viko vingi visivyokua na makombo! Nyie mwajua halua tu ? Hamna vingine mvijuavyo ?
Zinduna said: Ndio maana watu wa huku Pwani twasema, Halua haina makombo! Click to expand... Alaa kumbe! na Halua nayo haina makombo? Basi kumbe viko vingi visivyokua na makombo! Nyie mwajua halua tu ? Hamna vingine mvijuavyo ?
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,113 Dec 21, 2011 #27 Welcome back...., Pitia Mtwara uje na samaki nchanga bila kusahau zawadi zingine
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Dec 21, 2011 #28 Karibu tena mamito,we missed u too!