Jamani nifundisheni kutongoza

Jamani nifundisheni kutongoza

Hakunaga elimu ya kutongoza ile ni hali kila mwanaume anazaliwa nayo so piga kazi hakuna shule ya kutongoza mkuu
 
Ombi La Msingi Kabisa Hili ... Sasa Fuata Ushauri Huu Muhimu ..

Mlete Mwenzi ambaye Unataka Kumtongoza kwangu .. Consultation Free ... Nitakupa Msaada Wote Unaohitaji...

Ok Najua hutaweza ku m face .. !

Fanya hivi .. Nionyeshe Tu
... Au Fanya mpango upate namba ya simu ..usioongee naye chochote kwani utaharibu ... then nitumie number yake kwenye PM.

Right. ? Fanya Chap usichelewe.. !
 
Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate


nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.

Humu watu watakusaidia ila ukiuli ----- ndo hivo unakutana na mengi. Maneno ya mademu wabaya haitofautiani na wazuri. No principle
 
Msimamishe,,,msifie,,,then sepa zako,,,,ukionana nae fanya ivyo sepa tena,,,, endelea kufanya ivyo ili umuweke karibu mkishazoeana then kama umempenda mwambie unampenda,,,,[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta pesa kisha ukimuona unayempenda mpe pesa,akiuliza ya nini mwambie lunch,alafu muongeze tena, akiwa anashangaa shangaa muongeze tena pesa,yaani utawakimbia warembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimuona demu unayemtaka, mpe pesa.

We mpe pesa.
Nasema mpe pesa.
Mpe pesa aisee.
Nakwambia mpe pesa.

Atakuja kukwambia:

1. Anakupenda.
2. We ni handsome (hata km sio).
3. Hajawahi kukutana na mwanaume km ww (hata km ni uongo), na vitu vingine vinavyofanana na hivyo.
 
Status yako kipesa ikoje? Money speaking. Siku hizi hakuna hbr ya dada nikinywa maji nakuona kwenye glass bila wewe silali nk hiyo hakunaga. Pesa yako inaongea umemtokea dada umtakaye unamtandika na bussiness card yako au unampa namba yako ya cm unamwambia " hello dear sorry kwa usumbufu? actuall sitaki kukuhold na kukupotezea muda so najua kuna wkt utapata nafax so namba zangu hizo ukiwa free utanipia au unibeep na hii hapa 50,000 ya vocha. Ok bye. Sasa hapo uonee kama utamkosa umtakayee...
Kwa akili hizi utapotezs pesa nyingi sana kupata wanawake
 
Back
Top Bottom