Jamani nifundisheni kutongoza

Jamani nifundisheni kutongoza

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate

nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.
 
Status yako kipesa ikoje? Money speaking. Siku hizi hakuna hbr ya dada nikinywa maji nakuona kwenye glass bila wewe silali nk hiyo hakunaga. Pesa yako inaongea umemtokea dada umtakaye unamtandika na bussiness card yako au unampa namba yako ya cm unamwambia " hello dear sorry kwa usumbufu? actuall sitaki kukuhold na kukupotezea muda so najua kuna wkt utapata nafax so namba zangu hizo ukiwa free utanipia au unibeep na hii hapa 50,000 ya vocha. Ok bye. Sasa hapo uonee kama utamkosa umtakayee...
 
Aibu ya nini kwani kuna mtu ananijua humu i
 
Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate

nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.

dah! umri wako tafadhali.

shule inafunguliwa lini?
 
Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate

nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.
Ukitaka mademu wakali wa Kishua walioenda shule nenda maeneo ya Masaki, Oysterbay, Mbezi Beach ukikutana nao waambie kwa kingereza '' I hate you so much" halafu subiri majibu.
 
Naombeni mnifundishe kutongoza
Yaani nikimwita mwanamke akisimama nianze kumwambia nini? Na nianze kumwambieje ili anipe namba yake na pia akiniambia ana mtu,atuendani,sitaki mtu kwa sasa nimwambieje ili nimpate

nisaidieni jamani ili na mimi nipate mademu wazuri siyo kama ninaowapata sasa hivi wabaya.

nawasiwasi umri wako bado, kama ni mtu mzima bac labda husimamishi.....
 
Ukikutana na demu baada ya salamu mwambie maneno haya "baby I love you so much..I can't live without you....i need you in my life...mmwaaah"...utamuona anaanza kucheka cheka tu...una malizia na hii " will you marry me..?.."
Hadi kufikia hapo utakuwa umeshamaliza kazi.....ni kumshika mkono na kuondoka naye.....tu....
 
Mwambie "mambo"
Akijibu "poa"
Mwambie "naomba nikuchape nao"
Simple n clear...halafu uje ulete majibu
 
!
!
kutongoza ni sanaa kama sanaa nyingine za kuchonga vinyago, kuimba na kadhalika. Utongozaji hutegemea na malengo ya mtongozo huo kwa maana hiyo mtongozo wa one night stand ni tofauti na wa kutaka mahusiano ya muda mrefu. Ila kimsingi jitahidi kuwa msafi na uende na wakati, kuwa mpole ila mcheshi jifunze swaga mbalimbali.
 
ahsante kaka umenipa mwanga
 
ukimuona demu muite psssiii psssiii kama hasikii mfuate mvute alafu mwambie arooo wewe mimi nataka nikurenge sasa vp unarara au nikugaragaze mwenyewe... utakuja kutoa mrejesho jf!

hahaha umenichekesha wewe
 
ubatongoza mpaka leo?????

bado upo phase 1 katika phase 90 za kumpata mwanamke
 
Back
Top Bottom