Atamsahau taratibu, baada ya miezi sita anaweza kuwa anajicheka mwenyewe kwa kuumia huku.Kuna mdau hapo kasema "Time is the best healer"
sijui maana yake ni nini, ila ninahisi huenda ndio neno linalo kufaa zaid kwasasa, utanisaidia kufafanua
Swahiba... siko interested na hii post yako... bali muda uliopost. Hakyamama hii JF ina addiction mbaya sana...Atamsahau taratibu, baada ya miezi sita anaweza kuwa anajicheka mwenyewe kwa kuumia huku.
Mwanaume kuumizwa na mwanamke ni uzembe. Haya maua yamejaa tele... hili likinyauka unachuma lile.Hivi ni mimi tu nina roho mbaya au?!...inachukua dakika chache sn kumpotezea mtu haijalishi tumefahamiana mingapi
Muda ni hakimu wa hakiKuna mdau hapo kasema "Time is the best healer"
sijui maana yake ni nini, ila ninahisi huenda ndio neno linalo kufaa zaid kwasasa, utanisaidia kufafanua
Yaani huwa nikiwaza kuwa mbona sikumfanyia kosa lolote mpaka aamue kufanya vile ndo huwa naishiwa amani kabisa... Alaf ni karibia mwaka umepita lakini naona nazidi kumchukia zaidi kwa mambo aliyofanya... Nahisi pia huenda labda sababu nipo single?? Siamini wanawake kabisa..Haya matatizo bwana ni rahisi mtu kukwambia piga chini lakini ni wewe na moyo wako ndiyo unajua unaumia vipi. Time is the best healer.
Unafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato? Ongeza muda kwenye hiyo shughuli. Ingawa umekuwa psychologically affected lakini si wanawake wote wako hivyo. Ninawasi wasi kwa yaliyokutokea unaweza kukutana na mtu mwema ukamfanyia visa.Yaani huwa nikiwaza kuwa mbona sikumfanyia kosa lolote mpaka aamue kufanya vile ndo huwa naishiwa amani kabisa... Alaf ni karibia mwaka umepita lakini naona nazidi kumchukia zaidi kwa mambo aliyofanya... Nahisi pia huenda labda sababu nipo single?? Siamini wanawake kabisa..
Najishughulisha na ufugaji wa kuku lakini pia nafundisha vijana wa pre form five tuition.. Nimemaliza chuo mwaka jana so bado sijapata ajira rasmi... Ni kweli yaani nimejaribu kuingia kwenye relationship na binti flani hapa mtaani lakini ikabidi nimuache tu.. Sina hisia kabisa na hata nikimpigia simu nikamkuta yupo busy basi nafkiria mbali sana na kuhisi na yeye ni wale wale ikabidi nimuache tuUnafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato? Ongeza muda kwenye hiyo shughuli. Ingawa umekuwa psychologically affected lakini si wanawake wote wako hivyo. Ninawasi wasi kwa yaliyokutokea unaweza kukutana na mtu mwema ukamfanyia visa.
Ongeza muda wa kusoma katika lesson preparation zako pia mengine jitahidi kumwachia Mungu na kumshukuru kwa kila jambo, huwezi kujua Mungu amekuepushia nini kwa huyo mwanamke.Najishughulisha na ufugaji wa kuku lakini pia nafundisha vijana wa pre form five tuition.. Nimemaliza chuo mwaka jana so bado sijapata ajira rasmi... Ni kweli yaani nimejaribu kuingia kwenye relationship na binti flani hapa mtaani lakini ikabidi nimuache tu.. Sina hisia kabisa na hata nikimpigia simu nikamkuta yupo busy basi nafkiria mbali sana na kuhisi na yeye ni wale wale ikabidi nimuache tu
Sikuwa na mawazo hayo mwanzo maana nilimpenda sana so sikutaka kumuumiza mpenzi wangu kwa kumchanganya na madem wengine.. Hilo ndo lilikuwa kosa languMwanaume kuumizwa na mwanamke ni uzembe. Haya maua yamejaa tele... hili likinyauka unachuma lile.
Ndo ujinga huu wa watu kujifanya wasafi. Mwanaume unapaswa uwe na mademu watatu angalau... Huyu akileta fyoko unakuwa tayari una back up.