Are u serious ? kwanza unataka kuchukua kitu ambacho inaonekana huna interest nacho. Kama kweli una mwelekeo huo basi saa hizi ungeweza angalau ku-"Google" ukajua kuna masomo gani kuona ability na interest yako ipo wapi. Watu wanaweza kukushauri baada ya wewe kuamua baina ya A na B ipi bora? Katika IT kuna courses kibao, watu wanaweza kukushauri kitu ambacho huna interest au huna uwezo nacho ki-masomo. Suala hapo si utapokea elfu ngapi baada ya kumaliza,.... interest, uwezo wa wewe kufaulu, upatikanaji wa kazi huko utakakoishi then na huo mshahara.
* Ukitaka msaada kwanza fanya homework yako vizuri baadae ushauri utakurahisishia katika maamuzi. Goodluck!
Haya maajabu, unataka kusoma IT na unaulizia mshahara!!! halafu hiyo Uk.... ni ya wapi ama ni hii ya madafu, Kisiwani, Jeshini au unamaanisha nn, kama hiyo Uk... ni ya hapa bongo, fika ifm au ucc utapata msaada wa kutosha sema hawatakuambia mshahara sh ngapi labda namna ya kukabiliana na supps

thanks nipo United Kingdom,i have been here 8 years,ilikuwa nichukue nursing ila mambo yangu fulani hayakukaa sawa sasa ndio nataka kuchukua computing ndio nataka muongozo kama kuna waliosoma hapa IT walichukua degree gani kisha wanalipwa shiling ngapi baada ya kuqualify...
Thanks.
Hivi tukizungumzia kwa Bongo Mtu mwenye CCNP na mwenye CISA/CISM ....nani anayepata Mshiko zaidi?Kwenye uwanja wa IT saiv naona kinacholipa ni course za networking, CCNA/CCNP , pia CISM na CISA pia. Ukifanya degree inayorelate na computer networks itakuwa rahis kuja kufanya mitihani hiyo ya Cisco. I assure you watu wenye certificates za CISCO wanapata pay nzuri sana.