Jamani ni maajabu ya nzi

Inzi ni nyoko unaeza ingia msituni ndani ndani kabisa huko umbali zaidi ya km 500 kutoka kwenye makazi ya watu ukanya/Kunya/kukata gogo ila cha ajabu ndani ya dakika sifuri mavi yote yamezingirwa na nzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…