Jamani, ni kweli wazungu wanatuzidi akili?

Jamani, ni kweli wazungu wanatuzidi akili?

Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sasa bila majibu.

Nimekuwa nikisikia kwamba wazungu wanatuzidi akili kila mara mimi binafsi nimekuwa nikipingana na maneno hayo.

Naombeni tusaidiane/mnisaidie endapo kuna kweli wowote kuwa eti wazungu wanatuzidi akili.

Kwasababu
Every systems kwenye dunia hii ni kama zimekuwa invented na wao

For instance
1. Mifumo ya Mahakama (Haki za binadamu)
2. Mifumo ya elimu (Formal Education)
3. Mifumo ya usafirishaji
4. Mifumo ya sayansi na teknolojia kubwa.
5. Mifumo ya Afya

Naskiaga sijui kuhusu IQ hata nisijue IQ ni nini?

Eti kwamba wazungu wana IQ kubwa kuliko sisi?

Wapo watu wanaodiriki kusema Wazungu Walipendelewa na Mungu ndiyo maana wako hivyo pia hata hili sikuwahi kusadifu.
Dini Dini Dini Dini ndiyo uchawi wa mzungu
 
Usipate taaaabu ndugu hebu tizama na fikiri kwa makini smart phone yako inavyofanya kazi jibu utslipata
Nisipate tabu kivipi?
Huoni uvivu wa kufikiri kama wako ndio chanzo cha wewe kutokujua smartphone inafanya vipi kazi?

Wewe ndiye uliyesema kwamba wametuzidi na sio mimi hivyo wewe ndo unatakiwa ujibu.

Sasa nimekuuliza wametuzidi kivipi unaruka kwa kusingizia smartphone, smartphone unaweza kutumia google kujua inafanya vipi kazi wewe usiyependa tabu ndo huwezi sababu hupendi tabu na sio kila mtu.

na siwezi kufikiria kwa kichwa project ambayo siyo yangu tena project kubwa kama smartphone ambayo imewekezwa billions of dollars na inaendelea kukua kila siku toka miaka 23 nyuma utaweza vipi kufikiria hapohapo?
Au unadhani smartphone imeibuka tu?

Bado hujajibu swali.

Jibu jinsi gani wazungu wametuzidi?
 
Mimi najiamini,nawaamini na Waafrika wenzangu pia.Kwani ni mara ngapi watu weusi tumegundua vitu vizuri lkn Wazungu wanabania?.Hebu fatilia ufahamu mambo mengi yaliyogunduliwa na Waafrika lkn Wazungu hawakuyakubali.
Kubaniwa pia ni kuzidiwa akili. Binafsi naamini wametuzidi akili na ujanja na hata mifumo yao ya utamaduni, maisha na ungozi tumerithi kutoka kwao na wamefanya hivyo ili kututawala kirahisi. Kujitoa chini ya utawala wa kizungu ni ngumu sana unless tukarudi kwenye mifumo ya kiutawala ya asili ya Africa na kuiboresha kutokana na wakati. Tukiweza hilo tunatoboa
 
Kitendo cha kutubania tu tayari wametuzidi akili
 
Tukiacha lawama za kijinga na kujipa mashavu ya kinafki, sisi wa afrika ni watu ambao hatuna akili

Imagine kwamba kila mwafrika anatambua kua dini zililetwa kwa target ya utumwa na kuiba mali zetu. Lakini pamoja na hayo yote ukionesha kuikosoa dini yake hiyo hiyo ambayo chimbuko lake ni utumwa mwafrika yuko lazi akuue mwafrika mwenzake

Labda karne ya 6000k ndio itakua na waafrika wenye akili. lakini hii tuliyomo na hizo zingine zilizopita tumejaa mazamtanga tu
 
Attachments

  • Your-Facebook-Video-fbdown.net (1).mp4
    2.7 MB
si suala la mtu mmoja mmoja kiujumla wao wametuzidi
Kwani wazungu wote kwa pamoja hadi wale homeless ndio wote waliokaa chini na kugundua gunduzi zote zilizo fanyika na sio mzungu tu mmoja aliyekaa chini peke yake na kufanya kitu kikubwa kwa ajili ya wazungu wote.

Mfano newton aliyedondokewa na apple au wazungu wote walidondokewa na apple kichwani?
 
Kubaniwa pia ni kuzidiwa akili. Binafsi naamini wametuzidi akili na ujanja na hata mifumo yao ya utamaduni, maisha na ungozi tumerithi kutoka kwao na wamefanya hivyo ili kututawala kirahisi. Kujitoa chini ya utawala wa kizungu ni ngumu sana unless tukarudi kwenye mifumo ya kiutawala ya asili ya Africa na kuiboresha kutokana na wakati. Tukiweza hilo tunatoboa

Itawezekana tu,ni suala la muda.
 
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sasa bila majibu.

Nimekuwa nikisikia kwamba wazungu wanatuzidi akili kila mara mimi binafsi nimekuwa nikipingana na maneno hayo.

Naombeni tusaidiane/mnisaidie endapo kuna kweli wowote kuwa eti wazungu wanatuzidi akili.

Kwasababu

Every systems kwenye dunia hii ni kama zimekuwa invented na wao

For instance

1. Mifumo ya Mahakama (Haki za binadamu)
2. Mifumo ya elimu (Formal Education)
3. Mifumo ya usafirishaji
4. Mifumo ya sayansi na teknolojia kubwa.
5. Mifumo ya Afya

Naskiaga sijui kuhusu IQ hata nisijue IQ ni nini?

Eti kwamba wazungu wana IQ kubwa kuliko sisi?

Wapo watu wanaodiriki kusema Wazungu Walipendelewa na Mungu ndiyo maana wako hivyo pia hata hili sikuwahi kusadifu.
We mwenyewe apo ukiambiwa uchague wa kumdai deni kati ya mzungu na mzalendo mwenzako wa gairo utamkimbilia yupi ?
 
Back
Top Bottom