Haijarishi maana ya akili ni nini.
Lakini jibu ni Hapana hawajatuzidi akili hata kidogo.
Mwili wa binadamu unaweza kufanya chochote, kama ukifanya hicho kitu mara kwa mara basi utakuwa mzoefu na utabobea zaidi kwenye hicho unachokifanya.
Ni kama msuli wa binadamu ambao ni moja ya sehemu za mwili wa binadamu ambapo ukinyanyua chuma kila siku basi msuli utazoea na kutanuka ili uweze kunyanyua hicho chuma vizuri zaidi.
Kama wale viumbe wanaokwenda "gym" kama sijakosea ili kutengeneza misuli mikubwa na matumbo sita ambayo hayana faida.
Pia kila mnyama/kiumbe anabadirika ili kuendana na hali halisi ya mazingira yanayomzunguka huyo kiumbe.
Ni sawasawa unaposema umtoe simba msituni umpeleke antarctica basi huyo simba lazima apate tabu sababu ya baridi hadi kufa au umtoe penguin antarctica umpeleke msituni lazima apate tabu hadi kufa.
Hiyo sababu mazingira hayato support hao viumbe na pia wao si binadamu viumbe ambao nilishataja sifa zao.
Wazungu kilichowabadirisha ni mazingira yao.
Ardhi isiyo na rutuba hivyo ngumu kupata chakula, baridi, misitu michache, mvua chache nk
Hiyo ikampelekea mzungu awe mtu wa kusolve matatizo ili aendelee kuishi, na nilisema juu kwamba mwili wa binadamu unaweza kufanya chochote na ukifanya hicho kitu mara kwa mara basi utakuwa mzoefu na utabobea zaidi kwenye hicho unachokifanya.
Hivyo mzungu kutokana na kusolve matatizo mara kwa mara au kila siku hiyo ikapelekea ubongo wake kubobea kwenye kusolve na unavyozidi kusolve unatengeneza curiosity ambapo utakuwa unagundua matatizo mengi zaidi yanayohitaji ufafanuzi na kutatuliwa.
Hiyo imepelekea ubongo wa mzungu kubobea huko na kuwa mzoefu hali inayopelekea kuwa kuwa kawaida kwa ubongo wa mzungu
kuona tatizo au changamoto kila sehemu ambayo hutodhania kama kuna tatizo au changamoto.
Na mpaka leo anaendelea hivyohivyo na kuendelea kulithishana vizazi kwa vizazi hiyo hali ya ubongo zao.
Na ndio maana mzungu anajiuliza kwanini Apple linidondokee tu bila kuguswa na aina yoyote ya kitu kinachoonekana.
Hivyo mazingira ndiyo yamembadirisha mzungu awe hivyo alivyo.
Kama ilivyo kwa mzungu Africa ni kinyume chake.
Mwafrika mazingira yake ni mepesi kwa asilimia kadhaa kulinganisha na ya mzungu.
Misitu mingi na minene, hali nzuri ya hewa, ardhi yenye rutuba, mvua za kutosha, chakula cha kutosha nk
Mwafrika hakuweza kuona changamoto wala tatizo sababu mazingira yalimrahisishia kwa asilimia karibu 50% ya maisha yake kuendelea kuwepo. hivyo kuendelea kuishi bila ugumu wala changamoto zinazoonekana kirahisi.
Hiyo imepelekea ubongo wa mwafrika kudumaa na kulala sababu haujishuhurishi kufanya chochote kigumu wala kutatua chochote kile.
Hivyo ubongo wa mwafrika umekosa uwezo wa kuona changamoto au tatizo na umekosa curiosity sababu ya mazingira. Mwafrika akawa anaishi tu ili mradi anaexist na kufuata nature.
(Wewe ujiulizi miembe yote iliyoko afrika lakini hakuwahi kutokea mwafrika hata mmoja kujiuliza kwanini Embe linadondoka lenyewe tu bila kuguswa? Au kujiuliza chochote kuhusu chochote kwanini kinafanyika na kwanini kitokee?...
Na mpaka leo bado wanaendeleza hiyo legacy kwa asilimia karibu 95%.
Hivyo mazingira ndiyo yaliyodumaza ubongo wa afrika na si kingine.
Hata hivyo mwanzo kule juu nilisema
Mwili wa binadamu unaweza kufanya chochote, kama ukifanya hicho kitu mara kwa mara basi utakuwa mzoefu na utabobea zaidi kwenye hicho unachokifanya.
Hivyo bado tunaweza kubadirika na kuwa zaidi ya wao kwa kutumia mbinu flani kupingana na mazingira au nature.