Hivi me huwa hawasomi hii?Kama ni Ke mrembo, mpeleke kwenye secretarial services.
MagogoniChuo kipo wap kwa dar?)
Asant sana mkuuAende kusoma kozi za biashara.
akasomee.
1. Uhasibu
2. Procuremen
3. Business administration
4. Acconting in public sectors
At least hata akikosa ajira kwa kozi hizo apo anaweza kujiongeza kujiajiri.
Chuo cha kusomea aende
TIA (uhasibu)
AIA
IFM
...nimtakie kila la kheri
Bora huyo wako mimi nina mjomba angu ana d mbili na C moja nawaza nimpeleke wapi sijui veta man hana sifa ya d nne kwenye masomo yake ilibaki d moja nawaza acha tu.Hbr wana Jf
Nina mdogo wang kamalza form four mwaka huu alisoma hats kapata masomo yote D isipo kuwa mathe kapata F je ni course gan itamfaa na yenye ajira??
Na je akienda kusomea mambo ya Bandar itafaa na ajira zake zinakuaje??
hawez kusoma clinical medicine kwasababu amesoma arts..Na hata angesoma science kwa matokeo hayo clinical medicine angeenda kupata tabu sana na calculations.Asnt kwa ushauri
mpeleke veta akapate ujuzi...ndo solution pekeeBora huyo wako mimi nina mjomba angu ana d mbili na C moja nawaza nimpeleke wapi sijui veta man hana sifa ya d nne kwenye masomo yake ilibaki d moja nawaza acha tu.
mi nimekupenda TekraAsant kwa ushauri mzr
Hizo kozi hazimfai kwa sababu amefeli mathsAende kusoma kozi za biashara.
akasomee.
1. Uhasibu
2. Procuremen
3. Business administration
4. Acconting in public sectors
At least hata akikosa ajira kwa kozi hizo apo anaweza kujiongeza kujiajiri.
Chuo cha kusomea aende
TIA (uhasibu)
AIA
IFM
...nimtakie kila la kheri
Anaenda.Hizo kozi hazimfai kwa sababu amefeli maths