Jamani ni course gan itamfaa mtu alie pata D masomo yote isipo kuwa mathe amepata F

Tekra

Member
Nov 27, 2020
49
53
Habari Wana Jf,

Nina mdogo wang kamalza form four mwaka huu alisoma hats kapata masomo yote D isipo kuwa mathe kapata F je ni course gan itamfaa na yenye ajira?

Na je akienda kusomea mambo ya Bandar itafaa na ajira zake zinakuaje??
 
Aende kusoma kozi za biashara.
akasomee.
1. Uhasibu
2. Procuremen
3. Business administration
4. Acconting in public sectors

At least hata akikosa ajira kwa kozi hizo apo anaweza kujiongeza kujiajiri.

Chuo cha kusomea aende
TIA (uhasibu)
AIA
IFM
...nimtakie kila la kheri
 
Asant sana mkuu
 
Hbr wana Jf
Nina mdogo wang kamalza form four mwaka huu alisoma hats kapata masomo yote D isipo kuwa mathe kapata F je ni course gan itamfaa na yenye ajira??
Na je akienda kusomea mambo ya Bandar itafaa na ajira zake zinakuaje??
Bora huyo wako mimi nina mjomba angu ana d mbili na C moja nawaza nimpeleke wapi sijui veta man hana sifa ya d nne kwenye masomo yake ilibaki d moja nawaza acha tu.
 
Bora huyo wako mimi nina mjomba angu ana d mbili na C moja nawaza nimpeleke wapi sijui veta man hana sifa ya d nne kwenye masomo yake ilibaki d moja nawaza acha tu.
Huyo ni bora umpeleke veta tuu au umfungulie b'ness
 
Aende kusoma kozi za biashara.
akasomee.
1. Uhasibu
2. Procuremen
3. Business administration
4. Acconting in public sectors

At least hata akikosa ajira kwa kozi hizo apo anaweza kujiongeza kujiajiri.

Chuo cha kusomea aende
TIA (uhasibu)
AIA
IFM
...nimtakie kila la kheri
Hizo kozi hazimfai kwa sababu amefeli maths
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom