jamani ndugu yangu ananitaka kimapenzi nifanyaje?

Joined
Jul 15, 2013
Posts
30
Reaction score
5
Ni ndugu(binamu) ambaye nimekua naye tangu utotoni mara nyingi likizo alikuwa akija nyumbani muda wote nilikuwa nashinda nae sasa tu watu wazima anakaa nyumban kuna chuo anasoma hapa karibu na home muda mwing anapenda kuingia chumbani kwangu,tunapo ongea anapenda kunisogelea zero distance, koch ntakalo kaa nae anataka akae vituko ving xana ananifanyia na mie naogopa kwa vle ni ndugu yangu nisaidien nifanye nini wana JF
 
Wewe ni me au ke?
Waswahili wanasema binamu nyama ya hamu!
Kwa upande wako unampenda au coz maamuz unayo mwenyewe, binafsi sikushauri uwe na nduguyo kimapenzi,pia kwa ushauri ungeipost thread yako MMU Nafkiri ingekuwa poa zaidi.
 
binamu yako wakike au wakiume, na wewe? tuanze hapo...!
 
Wewe ni me au ke?
Waswahili wanasema binamu nyama ya hamu!
Kwa upande wako unampenda au coz maamuz unayo mwenyewe, binafsi sikushauri uwe na nduguyo kimapenzi,pia kwa ushauri ungeipost thread yako MMU Nafkiri ingekuwa poa zaidi.

Asikubabaishe huyo Chocs keshalamba huyo.
 
Last edited by a moderator:
Ni ndugu(binamu) ambaye nimekua naye tangu utotoni mara nyingi likizo alikuwa akija nyumbani muda wote nilikuwa nashinda nae sasa tu watu wazima anakaa nyumban kuna chuo anasoma hapa karibu na home muda mwing anapenda kuingia chumbani kwangu,tunapo ongea anapenda kunisogelea zero distance, koch ntakalo kaa nae anataka akae vituko ving xana ananifanyia na mie naogopa kwa vle ni ndugu yangu nisaidien nifanye nini wana JF

mshitakie kwa ndugu
 
Weka picha tuone...
 
Nitumie namba yake mie nimuambie anavyofanya sio vizuri....!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tumesema weka picha hutaki.... shaurilo
 
Binamu daaah,
wanaitwaga ni nyama ya hamu.
ina maana ukiwa na hamu ruksa
 
Mtoto mchelemchele ww eeeeee,,,,,,,,anataka akupime kama kweli uko poa amweleze mamako uzima wako,wake up
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom