Nipo katika mkoa wa kilimanjaro,nilikuwa najipatia msosi mahali moshi town, nikawa nimekaa meza moja na jamaa ghafla akaongezeka mama(around 30's).kumbe alikuwa mgen wa jamaa. Maongezi yao:
jamaa anapiga shughuli za ukonda arusha-moshi, mmama ni mkeo wa mtu na pete anayo.
Jamaa: vipi mzee mzima?
Mama: mzima ila ameniaga tangu juma2.
jamaa: ameenda wapi ss?
Mama: sijui ameniaga tu!
Jamaa: sasa wewe ulienda wapi mbona hukunitafuta?
Mama: mm nilikuwepo si kwenda mahali!
Jamaa: una uhakika.....!
Mama: ndio!
Jamaa: basi nitaangalia leo kama kweli tokea juma2 mmeo ndo amekuaga!
Wakaniangalia kama ninawasikiliza.
Akachukua simu ya mama anapekuwa,
mama: acha basi kupekuwa simu kwenye meseji.
Jamaa: naangalia meseji za mmeo anazokutumia........!
(wakawa wanapiga stori nyingine....)
Jamaa: fanya fasta basi tuna chelewa.....!
Sasa nikajiuliza huyu mke wa mtu toka arusha hadi moshi inamaana haridhiki na mme wake?
Je kweli ndo msemo demu wako wa zamani hata kama ameolewa una-access anytime!
This is not a story, nikweli kabisa kwa masikio,macho nimeshuudia.
Hofu ya nini honey? mimi mchumbaako ni mwaminifu mpaka najiogopa walahiDu!hii taasisi ya ndoa kila nikiifikiria kuwa ipo siku nitaingia huko huwa kichwa kinauma!yani sikumbuki ni sred ngapi kwa mwezi zinaandikwa humu za kuisifia au kuiongelea vizuri na kutuhamasisha ambao bado tupate hamu ya kuingia humo!
Haya bwana kwa tukio hilo naona ngoma ni droo!
Haa haaa haaa,my swty darling kumbe upo,weka basi japo liuzi limoja la ukweli kuhusu utamu wa ndoa ili nikuombe utangaze ndoa fasta lol!Hofu ya nini honey? mimi mchumbaako ni mwaminifu mpaka najiogopa walahi
Uskonde, acha nijipange, halaf hilo sredi ndo litakuwa mahari kabisa. Ni kweli idadi yetu waaminifu tumepungua sana, research ya karibuni imesema waaminifu tumebaki 5% tu lakini tukiowana mimi na wewe halaf tukazaa watoto saba percentage itaongezeka kidogo, tutalea seriousHaa haaa haaa,my swty darling kumbe upo,weka basi japo liuzi limoja la ukweli kuhusu utamu wa ndoa ili nikuombe utangaze ndoa fasta lol!
Naogopa coz kila wiki lzm kuwe na sred ya machungu ya ndoa,km sio nyumba ndogo basi kufumaniana au uaminifu kuisha yani watu wanalalamika mpaka naogopa mpnz!
Khaaaa 5%?asa nitahakikishaje nawe umo?Uskonde, acha nijipange, halaf hilo sredi ndo litakuwa mahari kabisa. Ni kweli idadi yetu waaminifu tumepungua sana, research ya karibuni imesema waaminifu tumebaki 5% tu lakini tukiowana mimi na wewe halaf tukazaa watoto saba percentage itaongezeka kidogo, tutalea serious
Hapo red mbona JF wote wanajua, wala usihofu honey.Khaaaa 5%?asa nitahakikishaje nawe umo?
Sred ndio mahari lol!
Nizae watoto saba,swty hapa unajua kbs nitakuwa nimeshachoka mpaka nitakuruhusu utafutea mpango wa kando!
Weka huo uzi nione utakuwa na utamu wa ndoa kiasi gani then tutanegoshieti km unatosha kuwa mahari au uongezee ile masterkadi yako!
Haaaa haaaa,umesahau siku ile my sisy Husninyo aliniambia mbona kwako nimeingia choo cha watoto style yake kukalia potllol!!Hapo red mbona JF wote wanajua, wala usihofu honey.
Uzi usjali, unataka niuandike kwa kiswahili au kiingereza?
Haaaa haaaa,umesahau siku ile my sisy Husninyo aliniambia mbona kwako nimeingia choo cha watoto style yake kukalia potllol!!
Ila km unavyojua tena mapnz ulipoibuka kidume nikasahau yote lol!
Huo uzi itabidi uuandike kiswahili na sabu taito za kikwetu coz ninampago wa kuuprint nimpelekee bibi yangu akausaminishe km utafaa kwa mahari lol!
Si ndio km hivyo tena nimezimika mpaka nakubali mahari ya sred ya utamu wa ndoa wakati wenzaku wanataka mamilion!heheh husni usimsikilize sana, siku uporoto akilala baa anakuwa hajielewi anaongea nini!
Acha niwasiliane na wachambuzi wa kimataifa nianze kuuandaa uzi wa mahari lol