Kitendo cha wawekezaji kupewa miaka 10 ya kuchimba mafuta na gesi ndani ya nchi yetu bila kulipa
kodi kwa miaka kumi na serikali hii ya ccm ni kuuza nchi tena kwa bei rahisi, jamani vijana imefika
mahala pa kutoka kwenye sidelines na kuingia mitaani kuwaonyesha watawala hawa kuwa we
don't like what they are doing. Ni nchi gani duniani unaweza kuchukua rasimali zao kwa miaka kumi
for free ????. Serikali yetu inafanya haya kwa faida ya nani jamani ???.
Mkuu kaenda Equatorial Guinea ambako hela zote za mafuta ya nchi anawekewa benki kwenye akaunti ya kiongozi wa nchi hiyo na familia yake.Tusubiri, Mkulu wa kaya amekwenda huko Papu New Guinea kuchukua uzoefu.
Siyo hiyo tu. Hata sera ya kilimo kwanza ni kugawa mapande makubwa ya ardhi kwa multi corporations za Marekani, Saudi Arabia, Korea Kusini na Bangladesh. Watanzania kazi yao itakuwa ni kuchota maji tu na kuwa wapagazi wa haya mashirika ya kimataifa. CCM has to go!Mradi gani huo?? Wawekezaji gani hao??
Siyo hiyo tu. Hata sera ya kilimo kwanza ni kugawa mapande makubwa ya ardhi kwa multi corporations za Marekani, Saudi Arabia, Korea Kusini na Bangladesh. Watanzania kazi yao itakuwa ni kuchota maji tu na kuwa wapagazi wa haya mashirika ya kimataifa. CCM has to go!
Asije akaenda kuli contaminate taifa la watu na maujinga ya KibongoTusubiri, Mkulu wa kaya amekwenda huko Papu New Guinea kuchukua uzoefu.
Siyo hiyo tu. Hata sera ya kilimo kwanza ni kugawa mapande makubwa ya ardhi kwa multi corporations za Marekani, Saudi Arabia, Korea Kusini na Bangladesh. Watanzania kazi yao itakuwa ni kuchota maji tu na kuwa wapagazi wa haya mashirika ya kimataifa. CCM has to go!
Tusubiri, Mkulu wa kaya amekwenda huko Papu New Guinea kuchukua uzoefu.
Tusubiri, Mkulu wa kaya amekwenda huko Papu New Guinea kuchukua uzoefu.