mudy92
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 671
- 535
Ni takribani miezi minne tangu nimehamia hapa ninapo ishi sasa, kiukweli mtaa huu sikuwa naufahamu kabla hata watu wa mtaa huu sikupata kuwajua kabla.... TATIZO...
sasa nilikuwa nina kawaida ya kuwakaribisha wachumba zangu hapa kwangu kila nikitaka ku GEGEDA basi mmoja wa wapangaji wenzangu akawa hapendi hili swalaa na kusambazaa mtaaani kuwa mimi ni player nasuuza sana rungu watoto tofauti ikafikia hata kipindi nikitaka kurusha nyavu kwa watoto wa kitaaa naambiwa " huyo demu amezaliwa na ngoma" ili wao wale mamboo....CHANZO CHA TATIZO....hapa ninapo kaa kuna dada ambae ni mwanafunzii tunasoma wote, huyu dada alikuwa anakaaa na boyfriend wake ambaye sasa yupo mkoa wa jirani anasomaa
Dada huyu alitokea kunikubalii sana mpaka tukawa tunashare baadhi ya vitu kama msosi na mambo mengine hali hii ilipelekea kuzaliwa kwa mapenzi kati yangu mimi na huyu dada jambo ambalo liliwakwazaaa sana hawa wapangaji wenzangu wakiumee kutokana na ufinyu wa mahusiano kati yao na huyu dada then mimi nikaonekana kama nina dawa vile ku seiz moyo wa huyu dada,
Hali iliyopelekea ugomvi kati yangu na mpangaji mwenzangu mmoja wa kiume na mwenye familia yake kwa kunifuatilia mpaka usiku wa manane nina fanya nini na huyu dada ili nishikwee UGONI mpaka kufikia kupelekwa police nikishtakiwa kwa kutaka kuua kwa kisu!!! sasa huyu mpangaji mwenzangu mnokoooo amempelekea boyfriend wa huyu dada taarifa kuwa mimi nina extarct minerals..... huyu boyfriend wa huyu dada anawatumia watu wa mtaani kunifuatiria nyendo zangu na huyu dada NASHINDWA NIFANYEJE MIEEE!!! na huyu dada amekolea na penzi langu na hajaolewaa wala kuchumbiwa na huyu jamaaa ila wanakauchumba ka long time