jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Tena wakuvunje kabisa
Hata hayo maasi yenyewe hayajui vema huyo ni Foolish Form Four Fighting For Food For Four yearsHuyo si lugha tu anaonesha ni failure wa kila kitu, umeona alivyoandika? hamna coma wala full stop. Yeye anachojuwa ni kujisifia maasi tu.
Ni takribani miezi mi4 tangui nimehamia hapa ninapo ishi sasa, kiukweli mtaa huu sikuwa naufahamu kabla hata watu wa mtaa huu sikupata kuwajua kabla.... TATIZOO.... sasa nilikuwa nina kawaida ya kuwakaribisha wachumba zangu hapa kwangu kila nikitaka ku GEGEDAA bhasi mmoja wa wapangaji wenzanguu akawa hapendi hili swalaa na kusambazaa mtaaani kuwa mm ni player nasuza sana rungu watoto tofauti ikafikia hata kipindi nikitaka kurusha nyavu kwa watoto wa kitaaa naambiwa " huyo demu amezaliwa na ngoma" ili wao wale mamboo....CHANZO CHA TATIZO....hapa ninapo kaa kuna dada ambae ni mwanafunzii tunasoma wote, huyu dada alikuwa anakaaa na boyfriend wake ambaye sasa yupo mkoa wa jirani anasomaa Dada huyu alitokea kunikubalii sana mpaka tukawa tunashare baadhi ya vitu kama msosi na mambo mengine hali hii ilipelekea kuzaliwa kwa mapenzi kati yangu mm na huyu dada jambo ambalo liliwakwazaaa sana hawa wapangaji wenzangu wakiumee kutokana na ufinyu wa mahusiano kati yao na huyu dada then mm nikaonekana kama nina dawa vile ku seiz moyo wa huyu dada, Hali iliyopelekea ugomvi kat yangu na mpangaji mwenzangu mmoja wa kiume na mwenye familia yake kwa kunifuatilia mpaka usiku wa manane nina fanya nn na huyu dada ili nishikwee UGONI mpaka kufikiua kupelekwa police nikishtakiwa kwa kutaka kuua kwa kisu!!! sas huyu mpangaji mwenzangu mnokoooo amempelekea boyfriend wa huyu dada taarifa kuwa mm nia nina extarct minerals..... ko huyu boyfriend wa huyu dada anawatumia watu wa mtaani kunifuatiria nyendo zangu na huyu dada NASHINDWA NIFANYEJE MIEEE!!! na huyu dada amekolea na penzi langu na hajaolewaa wala kuchumbiwa na huyu jamaaa ila wanakauchumba ka long time
kwa vyovyote wewe somo la lugha kama ulifaulu sana ni daraja D
Mwanafunzi unajisifia ngono!
Ndio maana hii nchi haiendelei, kwa fikra kama zako sitegemei maendeleo hata miaka 500 ijayo.
Mwanafunzi unajisifia ngono! Ndio maana hii nchi haiendelei, kwa fikra kama zako sitegemei maendeleo hata miaka 500 ijayo.
Mwanafunzi unajisifia ngono!
Ndio maana hii nchi haiendelei, kwa fikra kama zako sitegemei maendeleo hata miaka 500 ijayo.
Ha ...Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? sura kama k,..wa
Tena ubakwe kabisaaaNi takribani miezi minne tangu nimehamia hapa ninapo ishi sasa, kiukweli mtaa huu sikuwa naufahamu kabla hata watu wa mtaa huu sikupata kuwajua kabla.... TATIZO...
sasa nilikuwa nina kawaida ya kuwakaribisha wachumba zangu hapa kwangu kila nikitaka ku GEGEDA basi mmoja wa wapangaji wenzangu akawa hapendi hili swalaa na kusambazaa mtaaani kuwa mimi ni player nasuuza sana rungu watoto tofauti ikafikia hata kipindi nikitaka kurusha nyavu kwa watoto wa kitaaa naambiwa " huyo demu amezaliwa na ngoma" ili wao wale mamboo....CHANZO CHA TATIZO....hapa ninapo kaa kuna dada ambae ni mwanafunzii tunasoma wote, huyu dada alikuwa anakaaa na boyfriend wake ambaye sasa yupo mkoa wa jirani anasomaa
Dada huyu alitokea kunikubalii sana mpaka tukawa tunashare baadhi ya vitu kama msosi na mambo mengine hali hii ilipelekea kuzaliwa kwa mapenzi kati yangu mimi na huyu dada jambo ambalo liliwakwazaaa sana hawa wapangaji wenzangu wakiumee kutokana na ufinyu wa mahusiano kati yao na huyu dada then mimi nikaonekana kama nina dawa vile ku seiz moyo wa huyu dada,
Hali iliyopelekea ugomvi kati yangu na mpangaji mwenzangu mmoja wa kiume na mwenye familia yake kwa kunifuatilia mpaka usiku wa manane nina fanya nini na huyu dada ili nishikwee UGONI mpaka kufikia kupelekwa police nikishtakiwa kwa kutaka kuua kwa kisu!!! sasa huyu mpangaji mwenzangu mnokoooo amempelekea boyfriend wa huyu dada taarifa kuwa mimi nina extarct minerals..... huyu boyfriend wa huyu dada anawatumia watu wa mtaani kunifuatiria nyendo zangu na huyu dada NASHINDWA NIFANYEJE MIEEE!!! na huyu dada amekolea na penzi langu na hajaolewaa wala kuchumbiwa na huyu jamaaa ila wanakauchumba ka long time