BismiLahi Shafi.... "Natukiuguwaa Naye ndiyo mposheshaji " Pole Mkuu... Hiyo ni twahara (watakaswa/purification) utapona tu in few/little hours.
mkuu maneno yako yanatia nguvu sana kwa mgonjwa nasema asante kaka kabangamkubwa pole, mungu Ndio muweza wa kila kitu, anamaana mkubwa sana kukupa ugonjwa huu wewe na wala .si kabanga, labda asngeweza kuumudu kuliko wewe! endelea kumshukuru mungu and atakuponya kupata hiyo dala unywazo ...ugua pole...
In-ShaAllah atakuAfu na kukupa shifaa, tumia dawa kwa time zake, NaEngeza istighFaar, Afya itarejea tu na utadundika mitaani upya.AMINninanamuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Aniafu na Anipatie shifaa.
Na Allaah Anajua zaidi...
Bwan'shee bole szana , bole !
Wee tapona veri fasti !
Hii mama ya boma ya watu8 nakupa advaisi nzuri sana! Afu iko taalamu nzuri szana! Bt iko tisha szana wewe!
Apana gopa ! We pona !
Naumwa Sana ni typhoid sugu Baba V na wana cc wote naombeni dua zenu
Naumwa Sana ni typhoid sugu Baba V na wana cc wote naombeni dua zenu
hizo sehemu huwa naingia huku nimevaa glove na mask.heee mkuu pole sana Mungu atakuponya usijali pokea uponyaji wa mwili wako na typhoid ikuwache na uwe unanawa pindi utokapo View attachment 120809 (jokes)
pole mkuu best wangu jamani