Hehehe! Kiongozi sorry! Nilifikiri uko off line!muache tu mpendwa, sie watu wazima tumeishaamua hawezi kuturudisha nyuma........ hata hivyo anasaidia kuchangamsha thread......... ana sehemu yake ya kumshukuru ila tu aangalie asije akaijeruhi keyboard yake........... ni ushauri tu.
MUULIZE KAKAAKO!yupi huyo???
Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
X-PIN anatumia nguvu nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii WAKATI MSHIKI AMEDATA NA MIMI
HEHEHEHE!namshangaa...Mpwa ina maana hommie anataka kukata gorofa kwa kiwembe?
Kwenye baa yoyote yenye bia baridi za kutosha inayouza bia kwa bei iliyorikomendiwa na TBL/SBL. Ofkozi na jiko lenye vya kuchomwa vya kutosha! Taratibu.... Mamushka na AK bado wako online!basi jpi;i but wapi?
We leo umeibukia gesti gani?Hivi umeolewa? Kama mbado jaribu kuwa karibu mwenzio ndo tiba yenyewe usikimbilie hospital unajiongezea makemikali bure mwilini.
kiongozi na wewe si ujitafutie wako?mbona unataka kunipotezea daireksheni?Kwenye baa yoyote yenye bia baridi za kutosha inayouza bia kwa bei iliyorikomendiwa na TBL/SBL. Ofkozi na jiko lenye vya kuchomwa vya kutosha! Taratibu.... Mamushka na AK bado wako online!
HEHEHEHE!namshangaa...
nimetumia nguvu na akili ya ziada kumtoa AKILIKUMUKICHWA,sasa mpwaaz anataka kunipiga chenga ya mwili huku namuona
twinushka wats going on here eeeh!!!??? I demand some explanations hapa!!!Kwenye baa yoyote yenye bia baridi za kutosha inayouza bia kwa bei iliyorikomendiwa na TBL/SBL. Ofkozi na jiko lenye vya kuchomwa vya kutosha! Taratibu.... Mamushka na AK bado wako online!
pole sana kwa kuumwa.kiuno kama hukushinda ndani na mwenzio siku nzima wakati wa mvua hii basi ningekushauri ujenga tabia ya kunyoosha viungo kila asubuhi ukiamka.,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
We leo umeibukia gesti gani?
Hehehe! Kiongozi sorry! Nilifikiri uko off line!
Ngoja nichape raizoni kabla Akili zako hazijatibuka! Ila kizuri kula na nduguyo bana, acha uchoyo! Mi na wewe ni kitu kimoja! Tusijegombana bure.
bado cjaolewa but naamini Mungu atanipa ubavu wangu wa milele
Umeolewa??
aah, usijali mkuu, sie kugombana mwiko kabisa......... shemeji yenu mnamfurahisha sana.............. tunashukuru
safi sana!unakunywa nini?aah, usijali mkuu, sie kugombana mwiko kabisa......... shemeji yenu mnamfurahisha sana.............. KAZI AMBAYO IMENISHINDA KABISA!naomba uendelee na GEOFF TU!X-PIN ACHANA NAE
Bwashee! Umesahau unammiliki dada yangu kabisa? Sasa vipi tena?MUULIZE KAKAAKO!
pearl anataka kuonana na mimi NA YEYE ANATAKA AWEPO
Hehehe! Hommie sikujua we ni mjumbe wa bodi ya BAKITA! Maneno hayo!Mpwa ina maana hommie anataka kukata gorofa kwa kiwembe?
!!HEHEHEHE!namshangaa...
nimetumia nguvu na akili ya ziada kumtoa AKILIKUMUKICHWA,sasa mpwaaz anataka kunipiga chenga ya mwili huku namuona
Hehehe! Huyo bana akinipeleka kwenye lile jukwaa lake na umri huu, ugonjwa wa Pearl waweza hamia kwangu! Kiuno changu jamaniiiii! Arambaaa Ammmmmm!kiongozi na wewe si ujitafutie wako?mbona unataka kunipotezea daireksheni?
ungea hata na maria roza bwana
Lakini naona mko kwenye hatua nzuri na AK kama hutaleta za kizamani!bado cjaolewa but naamini Mungu atanipa ubavu wangu wa milele