mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Kuna hosteli nyingi sana mitaa ya keko maduka mawili ,,keko machungwa, keko kitoroli,TTC kwa mama mshauri,Amani hostel,nkWadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je kama hazipo chumba sh ngap huko dar?
Ngoja wanakujaaWadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je kama hazipo chumba sh ngap huko dar?
Hapo maduka mawili kuna hosteli ipo unalipa elfu 40 kwa mwezi kuna mademu hapo balaa ,,utagonga K mpaka upagawe tena wanakutongoza wenyewe na unawagonga free kabisa
Je coict mkuu masuala ya hostel ni vipi????Kuna hosteli nyingi sana mitaa ya keko maduka mawili ,,keko machungwa, keko kitoroli,TTC kwa mama mshauri,Amani hostel,nk
Ukishuka hapo maduka mawili kuna bar kwa pembeni halafu unatembea hatua chache utakutana na hizo hostel ,,,Chonde chonde muelekeze Balax
Huu uzi una wachangiaji wazuri, wanatoa mambo mazuri ninayoyapenda ngoja nikae hapa nisikilize vizuri
Wadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je kama hazipo chumba sh ngap huko dar?
Huu uzi una wachangiaji wazuri, wanatoa mambo mazuri ninayoyapenda ngoja nikae hapa nisikilize vizuri
Na UKIMWI juuMtoto wa mkulima toka kijijini soma kwa umakini ushauri unaopewa hapa usipokuwa makini chuo kitakuwa semester moja tu halafu utarudi nyumbani!!!! LoL
Je coict mkuu masuala ya hostel ni vipi????