Jamani Nataka!!!!

halafu kumbe leo ni ijumaaa, Kiti moto ya kuchoma jamani contenaaaaaa
 
Hahahaa,nikajua mambo yako ya wikiendi yameanza

Ngoja nimulze binamu yangu Mr Rocky kama ataweza kukupa lift
Chocs huyo vivian ana bahati mbaya na mimi nitakuwa tarakea tarehe 21 sasa sijui nisubiri huko huko vivian ukija tarakea unideep nitakuwa juu ya mti nasubiri simu yako

ha ha ha ha Mr Rocky yupo Arusha shosti. natamani sana Lift ya Asprin coz tunaenda njia moja.

Naomba kakaangu Asprin usinielewe vibaya
Asprin atakuangusha kwenye mto Ungasi pale maana hachelewi kuona nyota nyota kuwa na mrembo kama wewe vivian
 
Last edited by a moderator:
Ni PM namba yako mie naenda huko, ila tutapitia Morogoro tutalala siku moja then Dodoma siku moja ndo tutageuza speed tutalala tena Tanga siku moja baada ya hapo Tarakea hii..

dume la shoka hilo, ila hizi logistic zako balaa, wewe bibie vivian ubebe na vifanyio km pakti 5 hivi naona Baba V amekupania
 
Last edited by a moderator:
Mh vivian mie ningeweza kukupa lifti lakini wambea wengi hawakawii kwenda kupeleka urere ikulu..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…