Jamani natafuta mganga wa kienyeji

Jamani natafuta mganga wa kienyeji

Nina matatizo ambayo siyaelewi kabisa yamenitokea na yameendelea kuwepo!!Na mambo yangu hayaendi sawa sawa katka kila kona ya maisha yangu!! Nahis kuna nguvu Kali zinanizonga nahitaji mtaalam syo hawa wanaojitangaza wenye njaa! Wanalaghai tu watu nahitaji mganga wa kweli asiyefanyia dhiki ya hela!! Kama kuna mtu ameshawahi kupata ufumbuzi au anamjua !! Au alikua na shida nayey akatatuliwa !! Msaada!!
Natanguliza shukrani !!
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom