byb sac
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 910
- 386
mhhhh we siondo uyo dada kwel!!!!...mbna km unajisafishia njia ya airtel money!!
hahahahahhh...hapana mkuu sio mimi..ushauri tuu
mhhhh we siondo uyo dada kwel!!!!...mbna km unajisafishia njia ya airtel money!!
kaka kwa mama mkwe tena usichelewe tuma fasta kaka unawasiwasi gan?hizo kwenye mahari unazikata kama akikupangia mahari M.1,na ulimtumia labda laki inabidi umpe laki tisa.kiroho safi mtumie
kaka watu wa kusini nawajua vizur wanashida sana kule,My bro kaoa huko ni noma sanaaa...aisee sometime najuta kuwafahamuTatizo naona kama mapema sana kunipga kizinga maana hata mwezi bado mkuu
Tatizo naona kama mapema sana kunipga kizinga maana hata mwezi bado mkuu
Tatizo naona kama mapema sana kunipga kizinga maana hata mwezi bado mkuu
mahali ni swala.lingine hilo mkuu