Jamani naombeni ushauri kwa hili

Jamani naombeni ushauri kwa hili

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habar wa wanajf, mimi kuna mschana nimetokea kumpenda anaishi dar na mm pia naish dar,ila yy wazaz wake wako masasi mtwara;Sasa yeye kawambia ndugu zake wote kuwa kapata mchumba,sasa mama yake na huyu msichana ananipigiaga cm mara kw mara, sasa leo mama yake kanipigia cm kuwa anashida ya pesa eti tumbo linamuuma,je nimtumie au nifanyeje?naomben ushaur wenu wana jamvi
 
Pole sana! Hivi uko kidato cha ngapi?
 
Mmmnh... Wazazi wengine bana...!!

Hata kuoa hujaoa mama mkwe ameshaanza kukupiga mizinga!!

Haya.... Mtumie mama mkwe hizo pesa..!
 
kama sitor ya kitoto hujalazimishwa kuchangia
 
Mmmnh... Wazazi wengine bana...!!

Hata kuoa hujaoa mama mkwe ameshaanza kukupiga mizinga!!

Haya.... Mtumie mama mkwe hizo pesa..!

umeona hilo jambo mkuu
 
duh! hujaoa hapo!! kwa kikwetu sisi mama mkwe ni matusi kumwambia mkwe wake wa kiume kuwa anaumwa tumbo, ila dalili ya mvua ni mawingu
 
nashukur kaka kwa maoni yako
 
ushasema ni mama mkwe..huyo ni sawa na mama yako.wewe mtumie hizo ela huwez kujua anashida gani na mpaka kakuomba wewe.au labda amekosa msaada kwengine akaona wewe waweza kumsaidia.mpaka mtumzima kuomba ela ujue anashida vinginevyo asingefanya hivyo.
msaidie kama unazo na uchukulie kama unamsaidia mama yako mzazi.usidhani kama wanakufanya kitega uchumi..wewe siumependa banaa basi shughulika..
 
asante mkuu
 
Hii sitori imenikumbusha kupangilia mabeno na kuumba herufi...darasa la kwanzaa!!!....

Mutumie mama mukwee mupunga uwooo!!!!!
 
fikra za kwamba anakupiga mzinga weka pembeni msaidie kwa hali ya ubinadamu tuu..na kiasi ambacho unacho sio kikubwa saaaana mpaka wakuone unazo.fanya kile moyo wako unachoamua.
 
karibu ila mimi ni dada tena ni mama wa mabinti wawili
 
ushasema ni mama mkwe..huyo ni sawa na mama yako.wewe mtumie hizo ela huwez kujua anashida gani na mpaka kakuomba wewe.au labda amekosa msaada kwengine akaona wewe waweza kumsaidia.mpaka mtumzima kuomba ela ujue anashida vinginevyo asingefanya hivyo.
msaidie kama unazo na uchukulie kama unamsaidia mama yako mzazi.usidhani kama wanakufanya kitega uchumi..wewe siumependa banaa basi shughulika..

Mhhhh we siondo uyo dada kwel!!!!...mbna km unajisafishia njia ya airtel money!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom