Jamani naombeni ushauri kwa hili?

Kasome vitabu vya dini yako na huo mchezo wako wa matusi na hako kajomba kako vikiruhusu endelea..
 
Hachana naye huyo kwao wote washamba njoo kwangu nikupige kimanu manu.
 
acha kabisa, ushaitia aibu familia yako. umetembea na mwanao.. fikiria huyo motto wa kaka yako anayemuita huyo binti dada. we tena ukimuoa atakuita wew bamdogo na amuiteje mkeo.. dada au mama mdogo???

kimbia acha kabisa kabla hayajawa makubwa
 
ushauri baada ya tukio nisawa uone sehemu ujisaidie, baada ya kumaliza unauliza kama mahala pale panafaa kujisaisia ama hapana.
 
hajaomba ushauri kaomba ushauli. hii yote ni athari ya vifurushi vya chuo
 
Mh Magufuli ukimaliza kutumbua mafisadi njoo utumbue wanaotumia viroba .......Dar jua kali sana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Story ipo hivi kulikuwa na mdada ambaye alizaa na kaka yangu wakaja wakaachana. Huyo dada alikuwa na dada yake ambaye alikuwa na mtoto wa kike. Dogo huyo mi ndo natembea nae.

Jamani nyie mnanishauri vipi? Niendelee na mahusiano naye coz tunapendana.
Ulivyoanza na huyo dogo uliomba ushauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…