Jamani naombeni msaada mwenzenu tigo imenishinda!

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,883
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?
 
Tcra wapo kimaslahi yao zaidi we unategemea waje kukutetea wewe raia au mkuu wewe ni mgeni ndani ya hii Tz. Ilopo washauri ndugu na jamaa wanaotumia tigo muhamie mtandao mwingine unaokwenda na hali ya maisha ya mTZ
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?

mi nimejaza mihela ktk kilonga mtembezo nikatumia ,naamka asubuhi salio 1970na visenti kivumbi kimeanzia hapo ,kila nikijaribu kupiga simu mara salio halitoshi, tukupe mkopo,umefikia kiwango cha mwisho cha huduma ya tafadhali nipigie!mzee huu mpango ulidumu kwa masaa mawili!aaargh
 
ni kweli bwana huu mtandao sio sijui wateja wamewazidi kiwango wanashindwa kuwamanage
 
Tigo zote ni vimeo tu, uwe na hela usiwe na hela ni shida. Una hela network haishiki, huna hela network inashika tena kwa promotion!!!!

Tigo hata mimi siipendi.
 
mimi ni simcards zote ,tigo,voda,airtel,zantel na ttcl.mtandao unaozingua nauweka pembeni.wote wazembe hakuna mwenye nafuu.
 
Mkuu hujui maana ya soko huria? Hamia Airtel ujisikie huru!
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?
Kumbe ni mtandao,nilidhani uende kwa kameruni
 
Tigo zote ni vimeo tu, uwe na hela usiwe na hela ni shida. Una hela network haishiki, huna hela network inashika tena kwa promotion!!!!

Tigo hata mimi siipendi.

Bado sijaelewa kwanini Salio la Kukopa huruhusiwi kupiga nalo Voda, Airtel au mitandao mengine wakati badae utalirudisha na Riba juu!!
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?

Au ulikopa mkuu,ukasahau kama umelipa au la! Haha hahaha! Amia huku!
 
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo nimeweka sh.2000,sijaongea hata dk moja,kuangalia salio limebaki sh.3!kwa staili hii tigo imenishinda,kwani tcra wako wapi?

duh! hiyo ni kali. itakuwa demu wako ni kibaka anakuchakachua. mchunguze vizuri. over
 
Mnaionea TIGO. Naipenda sana TIGO. Duuh samahani, nilifikiri yale mambo ya Wakubwa. Kumbe mtandao wa TIGO.
 
hamia kwenye lile libasi kubwa lyekundu linanafasi ya kumwaga
 
Back
Top Bottom