Jamani naombeni mnipe maneno ya kuombea msamaha...

kazuri kakid

Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
15
Reaction score
118
Mko pouah? Mimi nina mpenzi wangu tuna miaka 3 sasa, ni naibu waziri wa wizara Fulani apa nchini. Sasa jana asubuhi ulitokea ugomvi baina yetu, kwa hasira ktk kujitetea nikamuwai kwenye kende zake, nikampiga kateke kadogo tu,akaanguka.nikajua nimeua.

Sikuweza kurudi mpaka mda huu na niliondoka tokea iyo asubuhi, atujaongea chochote mpaka mda huu, ila nimemdadisi mfanya kazi wa getini kasema alimuona anatoka nje iyo jioni, manake aliamka na ni mzima kumbuka ugomvi ulifanyika chumbani.

Jaman tafadhalin nawaomben, mm ni msichan mtulivu tu ilikuwa ni bahati mbaya tu
 
Hakuna Lolote Nenda CAS Kama Hujui Kuomba Msamaha
Mwambie Nipo Chini Ya Miguu Yako Lakini Sikuchungulii
 
Mwandiko wako mbaya kuliko wangu mimi nilijua mwanaume ndo anaandika.

Anyway ushauri wa bure. Tangulia nyumbani fanya kazi zako zote kama hupikagi leo pika wewe. Chumbani kwako fanya usafi haswaaa.

Mmeo akirudi usimfate getini msubirie ndani akiingia tu ndani mdake sasa na wewe uwe umevaa vizuri sio dela zenu ishiii.

Basi mshike vizuri kwa upole mwambie "sweetheart nisamehe sikumaanisha kukuumiza plz nisamehe my love"

Hakikisha wakati huo umemshika vizuri sasa. Mwambie tena " babe kila kitu kiko tiyari, nimeshakuandalia, chakula maji ya kuoga na mimi pia niko tiyari utaanza na nini mme wangu?

Nb.paka wanja vizuri pale chini ya jicho unalifanya jicho lione vizuri na lilegee kiasi itakusaidua kuomba msamaha.

Sehemu ulizoziumiza kwa teke wakati unaomba msamaha pashike taratibu huku ukimwambia polee hapa panauma? Sirudii tena nisamehe.jiongeze. sasa hapo ushike na kwingine.
Una undugu na Delilah?!😅
 
Kwamba wanaume hatuna akili? Unapofanya hivyo Mimi najua unataka kunihadaa ,nakukataa na mitego yako hiyo utaishia kula makofi mapema tu.
 
Daah unipige na ubaki salama labda uje na rafiki yako pisi kali na nimle mbele yako
 
Mwandiko wako mbaya kuliko wangu mimi nilijua mwanaume ndo anaandika.

Anyway ushauri wa bure. Tangulia nyumbani fanya kazi zako zote kama hupikagi leo pika wewe. Chumbani kwako fanya usafi haswaaa.

Mmeo akirudi usimfate getini msubirie ndani akiingia tu ndani mdake sasa na wewe uwe umevaa vizuri sio dela zenu ishiii.

Basi mshike vizuri kwa upole mwambie "sweetheart nisamehe sikumaanisha kukuumiza plz nisamehe my love"

Hakikisha wakati huo umemshika vizuri sasa. Mwambie tena " babe kila kitu kiko tiyari, nimeshakuandalia, chakula maji ya kuoga na mimi pia niko tiyari utaanza na nini mme wangu?

Nb.paka wanja vizuri pale chini ya jicho unalifanya jicho lione vizuri na lilegee kiasi itakusaidua kuomba msamaha.

Sehemu ulizoziumiza kwa teke wakati unaomba msamaha pashike taratibu huku ukimwambia polee hapa panauma? Sirudii tena nisamehe.jiongeze. sasa hapo ushike na kwingine.
Daaah hivi vitu hunifanyiagi sasa siku hiyo ukithubutu kunifanyia najuwa umetoka Angaza kupata ushauri nasaha nakuzaba kofi hilo. Sitaki unafiki mimi

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom