luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Jamani😂😂Kwamba wanaume hatuna akili? Unapofanya hivyo Mimi najua unataka kunihadaa ,nakukataa na mitego yako hiyo utaishia kula makofi mapema tu.
Jamani😂😂Kwamba wanaume hatuna akili? Unapofanya hivyo Mimi najua unataka kunihadaa ,nakukataa na mitego yako hiyo utaishia kula makofi mapema tu.
Hutaki akubembeleze?😂😂😂Daaah hivi vitu hunifanyiagi sasa siku hiyo ukithubutu kunifanyia najuwa umetoka Angaza kupata ushauri nasaha nakuzaba kofi hilo. Sitaki unafiki mimi
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Sitaki make ananiektia tuHutaki akubembeleze?[emoji23][emoji23][emoji23]