Asanteni. Nitaenda kituo cha police. Maana nikienda kwa hawa wa mtaa cjui mjumbe mwisho atanitaja nitaonekana mbaya
Huwezi kwenda polisi hiyo ni case ya serekali za mitaa wacha ukilaza wako
Asanteni. Nitaenda kituo cha police. Maana nikienda kwa hawa wa mtaa cjui mjumbe mwisho atanitaja nitaonekana mbaya
Ndio mkuu
Wala ujakosea nenda tu polisi..serikali za mitaa wanakutaja na wanasema kabisa si kwani tunatatizo ni jirani yenu hapo ndio kashtaki..inasikitisha kweli..polisi nao itabidi utoe hela ya petrol hapo ndio watakuja na wala awakutaji.Asanteni. Nitaenda kituo cha police. Maana nikienda kwa hawa wa mtaa cjui mjumbe mwisho atanitaja nitaonekana mbaya
Umenifanya nicheke mpaka basi,Mkuu kweli unakwenda na wakati,Ushauri huu ukizingatiwa hali itakuwa shwari kabisadawa ya moto ni moto na wewe piga kelele tu usiku kucha , jamaaani eeeeh wahamiaji haramuuuuu!!!!!, utaona kama kutakuwa na kelele tena
Anasubiri maafa, kama ni mwana JF ana simu au kompyuta nyumbani katika neighbourhood ya walevi wa gongo basi he is expecting too much from mother nature.Hama huko! Kwani umegongelewa misumari?
Ndio raha ya ushwahilini hiyo, chumba cha 15,000 unategemea nini?
Kodi kwa mwezi ni laki tano tena na nusu.. na pia si uswahilini basi tu imetokea wamejibana kwa nyuma basi ni fujo tu ucku
Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku nyongine wanakesha kbs... nifanyeje jamani... naomba ushauri. Niko dar.
Mkuu mbona tatizo lako ni dogo!!! Nenda Polisi ukaripoti, usiwe na mashaka yoyote yale hakuna atakayejua. Ikishindikana kwa Polisi hapo mtaani kwenu basi njoo tena hapa Jf tukupe wazo lingine.
Huwezi kwenda polisi hiyo ni case ya serekali za mitaa wacha ukilaza wako