jamani naomba nitafutieni mpenzi niko siriasi

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
mpenzi ninaemtafuta awe mweusi mzuri wa kuvutia, niko kanda ya kati je mtanisaidiaje>?
 
mpenzi ninaemtafuta awe mweusi mzuri wa kuvutia, niko kanda ya kati je mtanisaidiaje>?

I thought uliomba tukutafutie mpenzi, naona umeamua tena kutafuta mwenyewe! now which is which??
aidha nina wasiwasi na sifa ulizotaja, mweusi mzuri wa kuvutia, amvutie nani, anaekusaidia kutafuta au wewe???
 
penda hyo msemo mimi
 
kweli angalia kichwa cha post na ulichokiandika kama vina uwiana,nyie ndo mnasaidiwa afu wenye mtoto wanaanza kukuletea mishe,kwanza we inaelekea ni jini!{ikikuuma pole} kwa sabab jinsia yako na unachotafuta hatujui au cameroon kama kawaida ya wapenda misaada!
 
Weusi gani hasa unaotafuta mi kuna mtu namfahamu yaani kwa ule weusi wake nadhani atakufaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom