Jamani naomba msaada simu yangu imefungwa na tcra

modest

Member
Oct 18, 2016
89
37
Jamani kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kuendelea kutumia simu yangu Samsung Galaxy Note3 ilifungwa na tcra nasiki upo uwezekano wa kuifungua na kutumia tena
 
Samsung Clones Hiyo
Unatakiwa Kununua Kama Hiyo Ambapo Utapata Original Kwa Maduka Yao
 
Mkuu, pole sana. Kama tatizo ni IMEI Number imebadilika, yaani hupigi wala hupokei sms nakupa pole sana.

Hilo tatizo lilinikumba na mimi, ukienda Samsung watadai 120,000 pale Kkoo. Ila mimi nilisolve kwa pesa ya kawaida.
 
Jamani kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kuendelea kutumia simu yangu Samsung Galaxy Note3 ilifungwa na tcra nasiki upo uwezekano wa kuifungua na kutumia tena
niuzie mkuu ni pm
 
Mm naweza kisaidia kama upo tayar ni pm nikupe maujanja kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…