King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
yaani hadi hapo unaona hajasaidiwa? Ama wewe ndo unawaza ngono? Halafu na wewe umemsaidiaje? Msaidie basi na wenye same challenges wapone baba. Be part of the solution, not the problem.Sasa mbona na nyie mmebadilisha kabisa lengo la thread hii na mmeamua kuigeuza kuwa kijiwe wakati mtu alitaka msaada? Mimi nafikiri kama kuna mtu anaweza kumsaidia basi afanye hivyo hata hapa, labda ameona PM inaweza kumweka active zaidi kupata anachokitaka ukizingatia kuwa thread hapa huwa zinapotea. Wengine wanasafu kwa vibaba labda.
Tatizo la wengi humu ndani tumetawaliwa na mawazo ya NGONO tu kuliko uhalisia wenyewe.
Msaidieni.