Jamani naomba mnielewe tuu Kasinde mie loooh!!!

Jamani naomba mnielewe tuu Kasinde mie loooh!!!

Habari zenu mabibi na mabwana,
Kilichonitokea mchana huu nusu saa ikiyopita hadi sasa roho inanidunda....!!!!!
Nilikuwa naenda duka moja la vitabu liko mtaa wa Samora sasa wakati natembea kwenye jengo.la Benjamin Mkapa si nimekutana na yule kaka wa Nissan Patrol Crash nikamtizama na tukatizamana uso kwa uso loohh!! Wajua nini kilitokea tumeishia kutizamana tuu tukapishana huku mie mapogo ya moyo yakiwa juu. The nissan patrol guy alikuwa amebeba begi la mgongoni ni mweusi mrefu na aliingia ofisi za NSSF.
Jamani this nissan guy ananichanganya, what happens betwwen us? Ni kuwa tunaoneana aibu au tunaogopana?
Naomba mnielewe tuu na hizi crash maana sielewi mwisho wake ni nini, yaani from crash ya kwenye foleni za gari hadi crash ya kutembea barabarani looh!! Again he was walking alone and I was walking alone...
Hapa roho inanipwita......

wow....nimesoma thread zako nikajua unatania....huyo mtu ni mimi na nilivyokuona unaniangalia nikaanza kuhisi ni wewe unaeniongeleaga JF....
 
anza kutumia sea transport!

we want to hear different cases now, ship to ship crushing!
 
Tushajua kama una gari na leo umetujuza kuwa unasomaga vitabu na unanunua samora!
 
Na wewe unaboa sasa kila kitu unapost kuhusu huyo bwana ako! Basi uwe unapost na kutuwekea picha basi kila kitu ufanyacho kama unapokata kimba, kojoa, kuosha and the likes! Unatupa wasi wasi sana na ukomavu wako wa akili Kasinde! Au una frustration flani za kimahusiano huko nyuma basi utuambie!

jamani, makavu live! hebu msitiri mtoto wa mwanaume mwenzio.
 
tatizo la hawa viumbe wakiona mwanamke amekwama kwake utajuta atakutumia na kukuacha maana atajiuliza maswali umejichekesha kwa wangapi na wangapi wamekupitia ukikutana na kijana anaye jielewa lazima akuogope
 
Mie sijalala Husninyo sema mai waifu anakaba mpaka golikiki lol.. Vinginevyo mbona zamani ingekuwa imeshaeleweka..
Kasinde anahitaji mtu wa kumpunguza hayo makrashi, kama kusoma hamjui hata picha hamuoni!!!! ndio unakabwa mpaka hatukuoni jf!! vibaya hivo.
 
Last edited by a moderator:
Hamna bwana, hoja kama hizi hatukutegemea kuletwa na mkomavu wa JF kama Kasinde! Nahisi ni binti ambaye anakaribia kuugua ugonjwa wa kucheka cheka sasa na kukimbilia kila mtu aliyevaa suruali kwa sababu za genye! Dr. watu8 njoo huku usaidie Kasinde anaumwa kwani anakoelekea si kuzuri!! Na ole wako Kasinde unaweza kukuta hata huyo jamaa yako ni TEAMbazazi!
jamani, makavu live! hebu msitiri mtoto wa mwanaume mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom