Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
jamani, makavu live! hebu msitiri mtoto wa mwanaume mwenzio.
Truth pains but it must be told. Acha apewe ukweli hapa hapa jukwaani anapoketa mastori-kichaa yake daily.
jamani, makavu live! hebu msitiri mtoto wa mwanaume mwenzio.
Hamna bwana, hoja kama hizi hatukutegemea kuletwa na mkomavu wa JF kama Kasinde! Nahisi ni binti ambaye anakaribia kuugua ugonjwa wa kucheka cheka sasa na kukimbilia kila mtu aliyevaa suruali kwa sababu za genye! Dr. watu8 njoo huku usaidie Kasinde anaumwa kwani anakoelekea si kuzuri!! Na ole wako Kasinde unaweza kukuta hata huyo jamaa yako ni TEAMbazazi!
Truth pains but it must be told. Acha apewe ukweli hapa hapa jukwaani anapoketa mastori-kichaa yake daily.
Kasinde anahitaji mtu wa kumpunguza hayo makrashi, kama kusoma hamjui hata picha hamuoni!!!!
ndio unakabwa mpaka hatukuoni jf!! vibaya hivo.
Kasinde anahitaji mtu wa kumpunguza hayo makrashi, kama kusoma hamjui hata picha hamuoni!!!! ndio unakabwa mpaka hatukuoni jf!! vibaya hivo.
nakutafuta ujue.
atakuwa anataka mumjue maana kwenye heading tu lazma ukute na jina lake. lol
naskia mmeo ndio daktari bingwa wa wakina mama. lol. habari za kupotea mpenzi?
Ha ha haaaaaaa!! Sasa wa kumpunguza si ndo huyo wa nissan? Ye hataki mwingine ni Nissan tu!!
naskia mmeo ndio daktari bingwa wa wakina mama. lol. habari za kupotea mpenzi?
wa nissan kashachokwa humu ndani, labda aanze kuongelea wa daladala sasa.
Njema shosti nimefichwa kijijini na hizi mvua acha tu, Mzima wewe lakini?
Ahahaha mim nakuaminia ungekuwa unamalizana nazo huko huko juu kwa ju