Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
We miss you tanganyika,tunakusaka kama ile ndege ya malaysia!
Habari zenu mabibi na mabwana,
Kilichonitokea mchana huu nusu saa ikiyopita hadi sasa roho inanidunda....!!!!!
Nilikuwa naenda duka moja la vitabu liko mtaa wa Samora sasa wakati natembea kwenye jengo.la Benjamin Mkapa si nimekutana na yule kaka wa Nissan Patrol Crash nikamtizama na tukatizamana uso kwa uso loohh!! Wajua nini kilitokea tumeishia kutizamana tuu tukapishana huku mie mapogo ya moyo yakiwa juu. The nissan patrol guy alikuwa amebeba begi la mgongoni ni mweusi mrefu na aliingia ofisi za NSSF.
Jamani this nissan guy ananichanganya, what happens betwwen us? Ni kuwa tunaoneana aibu au tunaogopana?
Naomba mnielewe tuu na hizi crash maana sielewi mwisho wake ni nini, yaani from crash ya kwenye foleni za gari hadi crash ya kutembea barabarani looh!! Again he was walking alone and I was walking alone...
Hapa roho inanipwita......
Hana pete yuko single....
kama unampenda kweli jaribu kumzowea mjuane, huenda ndiyo nafasi yako ya pekee usiache akatumbukia kwa mwingine. Mzowee mfahamiane, kama anakufaa mnaendelea, shirikisha akili yako usiache moyo uchukue nafasi ya akili!
hivi wanaume wa humu mbona mmelala sana!!!!!
hivi wanaume wa humu mbona mmelala sana!!!!!