Ni wapi (studio gani) hapa Bongo ambapo unaweza kupiga picha kwa ajili ya Diversity Visa (DV-2011) Green Card Lottery tafadhali naomba kuuliza maana nataka kujaribu bahati yangu

bongo ni ngumu! ila we kapige picha popote ila waambie 'wasizumu' na mpiga picha asikae karibu sanaaaaaaaaaaa na 'sura' yako! kisha nitumie nikurekebishie.
hahahahahahaha, sio mtaalamu kivileeeeeee! basi tu! najua huyu mdau hawezi kuja kwetu 'kigoma' sasa inabidi atume tu kwa barua pepe au kama attachement!