Jamani nampenda HALIMA MDEE mwenye conacts zake please

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
1,213
Reaction score
528
Siyo siri huyu mwanamke nampenda sana,kila nionapo picha yake huwa napagawa sana,mwenye contacs zake naomba au mwenye uwezo wa kuniunganisha naye afanye hivyo haraka,naumia mno
 
Haya copy...071324537585849297362885999
 
.. Unamjua Ulaya!! Atakungoa kucha na kukuta vidole ... Unachezea B + Ulaya wa CCM na anapoonyesha mshikamona wa Kitaifa na Halima Mndee wa CDM?!!!
 
Mara conacts Mara contacs!!!!
Mmhu haya wee km lazima kidhungu
 
Siyo siri huyu mwanamke nampenda sana,kila nionapo picha yake huwa napagawa sana,mwenye contacs zake naomba au mwenye uwezo wa kuniunganisha naye afanye hivyo haraka,naumia mno

Chukua hii hapa tuone utaifanyia nini kama si kufa nayo 0713569823
 
Siyo siri huyu mwanamke nampenda sana,kila nionapo picha yake huwa napagawa sana,mwenye contacs zake naomba au mwenye uwezo wa kuniunganisha naye afanye hivyo haraka,naumia mno

0713 569823
usisahau kuja kutupa feedback
wish u lucky!!!!!!!
 
mi sauti yake kiukweli i love her so much i wish anitongoze mwenyewe
 
0.jpg
 
Mimi kale kamwendo kake tu kanisababishia washawasha mwili mzima
 
Mi nampenda Mama Salma,nani wa kuvuruga ndoa yao nimchukue kiulaini?
 
Back
Top Bottom