cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,812 Jan 9, 2013 #101 nazjaz said: inaonekana gilesi bado ni mtoto Click to expand... katolewa mahari ana utoto gani?? Hata mpini anaujua ladhaye. Hana utoto wowote, ila ndio hivyo tunamuelekeza!
nazjaz said: inaonekana gilesi bado ni mtoto Click to expand... katolewa mahari ana utoto gani?? Hata mpini anaujua ladhaye. Hana utoto wowote, ila ndio hivyo tunamuelekeza!
Darlingtone JF-Expert Member Joined Jan 9, 2011 Posts 390 Reaction score 146 Jan 9, 2013 #102 Pole mwaya, achana naye huyo hakufai.... kwani mahari kitu gani? Mi nshavunja uchumba kwa sababu hizi hizi za kipuuzi, ukizingatia labda humfeel kiviiile...
Pole mwaya, achana naye huyo hakufai.... kwani mahari kitu gani? Mi nshavunja uchumba kwa sababu hizi hizi za kipuuzi, ukizingatia labda humfeel kiviiile...
Lord K JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 213 Reaction score 37 Jan 9, 2013 #104 duuuuh....jamaa wa watu maskini....kashajua anaoa kumbe hajapendwa.
Simple JF-Expert Member Joined Feb 6, 2009 Posts 249 Reaction score 121 Jan 9, 2013 #105 Tuko said: Dah, hilo litakuwa limume -----... unalitukana unatimka zako Click to expand... Kizaizai na Tuko mmenivunja mbavu zangu leo..Hilo sio limume litakuwa ni Jimume
Tuko said: Dah, hilo litakuwa limume -----... unalitukana unatimka zako Click to expand... Kizaizai na Tuko mmenivunja mbavu zangu leo..Hilo sio limume litakuwa ni Jimume
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,355 Jan 10, 2013 #106 Simple said: Kizaizai na Tuko mmenivunja mbavu zangu leo..Hilo sio limume litakuwa ni Jimume Click to expand... Mi dada yangu akiolewa na mtu kama huyo atanichumia dhambi bure. Maana lazima niende kwa mganga nikamloge...
Simple said: Kizaizai na Tuko mmenivunja mbavu zangu leo..Hilo sio limume litakuwa ni Jimume Click to expand... Mi dada yangu akiolewa na mtu kama huyo atanichumia dhambi bure. Maana lazima niende kwa mganga nikamloge...
wahida JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 385 Reaction score 125 Jan 10, 2013 #107 tunataka kufahamu zaid , hakufai kivipi? tabia mbaya au mbaya wa sura?
SaidAlly JF-Expert Member Joined Jan 22, 2011 Posts 2,393 Reaction score 2,367 Jan 10, 2013 #108 wahida said: tunataka kufahamu zaid , hakufai kivipi? tabia mbaya au mbaya wa sura? Click to expand... anamuomba goTI.
wahida said: tunataka kufahamu zaid , hakufai kivipi? tabia mbaya au mbaya wa sura? Click to expand... anamuomba goTI.
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 Jan 10, 2013 #109 Tuko said: Unamchiti makusudi ili akupige chini... Click to expand... acha kuharibu kabisa jaman .....
Tuko said: Unamchiti makusudi ili akupige chini... Click to expand... acha kuharibu kabisa jaman .....
wahida JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 385 Reaction score 125 Jan 10, 2013 #110 he, apo sasa noma