Jamani nakosea wapi?

Wewe nae ushaambiwa kaka ake wemuite Shemeji tu Ahahaa mkuu umeshindwa kusoma Alama zanyakati woooi.
 
Wewe nae ushaambiwa kaka ake wemuite Shemeji tu Ahahaa mkuu umeshindwa kusoma Alama zanyakati woooi.
Mkuu unavyonicheka sio poa nimuitaje shemeji kaka wa uongo
 
Wewe umeshika mpini ,yeye kashika makali kazi ni kwako tu.
 
Hujakosea lolote man. Narudia hujakosea.. jiamini tembea kifua mbele.
Message aliyokutumia ni kujarib kufunika ujinga wake uliokuta.
Ndio maana, anaonyesha kutokujutia, anaonyesha kuto kujali, maana hata msamaha hajaomba.
Sasa ww fanya hiv mwambie sio suala la shukran, mwambie umemjua upumbav wake. Halaf kula bunda... kaa kimya.

Kinachomuangaisha ni ile hali umejua madudu yake, anajarib kukuchanganya na ww. Shikilia msimamo wako
 
Nashukuru sana mkuu Detective J na mm nimepanga kumkazia mpaka akiri kosa lake coz naona anataka nigeuzia kesi mimi
 
Kama humgongi mwanamke hadi akawa hoi hizi lawama lazima ziwepo kama unachakaza haswa basi hata akikutishia nyau utamwambia free to go lady ye ndie ataomba aendelee au abaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…