Hebu soma hii nimecheeeeeka......... narudia hayanihusu
Sifa za WAENDAO vyuoni.
- Matajiri na wenye akili MZUMBE
- Mahandsome na warembo IFM
- Masikini na washamba SUA
- Malaya na wasiojiweza kiakili CBE Dar
- Upeo mdogo na watoto wa Mama TUMAINI
- Waliokosa vyuo kabisa MAKUMIRA MWENGE
- Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima UDOM
- Wasiojali future zao USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE
- Wenye uwezo ila walifeli 4m 6 IAA, DTI
- Majigambo kibao na hamna kitu UDSM
- Wasiofahamu umuhimu wa elimu wanategemea chabo ndo wafaulu (Magogoni)
natamani kungekuwa na dislike pia humu plz wahusika hebu iwekeni na hiyo maana naona mada za kitoto zinazidi sasa
Hebu soma hii nimecheeeeeka......... narudia hayanihusu
Sifa za WAENDAO vyuoni.
- Matajiri na wenye akili MZUMBE
- Mahandsome na warembo IFM
- Masikini na washamba SUA
- Malaya na wasiojiweza kiakili CBE Dar
- Upeo mdogo na watoto wa Mama TUMAINI
- Waliokosa vyuo kabisa MAKUMIRA MWENGE
- Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima UDOM
- Wasiojali future zao USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE
- Wenye uwezo ila walifeli 4m 6 IAA, DTI
- Majigambo kibao na hamna kitu UDSM
- Wasiofahamu umuhimu wa elimu wanategemea chabo ndo wafaulu (Magogoni)
umbavu zako toa kasha zako hapa, paleka huko kwenu
umeanza Yale mambo yako Mdogo wanguumbavu zako toa kasha zako hapa, paleka huko kwenu
umeanza Yale mambo yako Mdogo wangu
mhhh!umeguswa wapi hahaaa!
we utakua no 11 tu lazima!
w
Sina elimu ya chuo chochote kile! huo ni ujinga na huyo ni form six atapata karai atake asitake
Hebu soma hii nimecheeeeeka......... narudia hayanihusu
Sifa za WAENDAO vyuoni.
- Matajiri na wenye akili MZUMBE
- Mahandsome na warembo IFM
- Masikini na washamba SUA
- Malaya na wasiojiweza kiakili CBE Dar
- Upeo mdogo na watoto wa Mama TUMAINI
- Waliokosa vyuo kabisa MAKUMIRA MWENGE
- Waliokosa nafasi na watoto wa wakulima UDOM
- Wasiojali future zao USTAWI, MUCOBS, SAUT, MWL NYERERE
- Wenye uwezo ila walifeli 4m 6 IAA, DTI
- Majigambo kibao na hamna kitu UDSM
- Wasiofahamu umuhimu wa elimu wanategemea chabo ndo wafaulu (Magogoni)
unajishaua nn wakati ulisoma magogoni
na nilikua nakuona!