Jamani naitaji dume la german shepherd

Dah,sijui ni nini kinaendelea hapa Dr. Phone muanzisha uzi kaingia mitini na mtoa tuhuma pia.Kuna nini bandugu? tujuzane SVP

sijaingia mitini mkuu nimejibu hoja ujue ukibishana na chizi na ww utaonekana na ww chizi
 
Kwani imekuweje tena dada??
Yaani umehuzunika kutokana na nini hasa??
Yeye si anamtafutia Mbwa wake bwana, tabu iko wapi kwani??

yy kakosa mume sasa anamwonea wivu mbwa kutafutiwa bwana tena wa deiwaka
 
glory vipi mbona cjaelewa yan nimerudia mara 2 2 cjaelewa kwanini unaonekana umechukizwa na thread ya jamaa

ata urudie mara 10 utomwelewa kabisa maana ana maadili kabisa mambo yake binafsi anataka kuyaweka JF hapa sio mahali pa kumalizia stress zake
 
heeee! Jamani hivi german shepherd ni mbwa au ni mtu!!!mbona sielewi elewi hapa!!

german shepherd ni mbwa mkuu na ninatafuta dume lakumpanda sasa cjui yy kinachomuhuma ni nn
 
he!? isijeikawa unaugomvi na mumeo

mkuu ana mume ajawai kuolewa ila amewai kukimbiwa na wachumba zaidi ya 10 ninao fahamu na amehama makanisa akitafuta lakini wapi ameshindwa kubadilisha tabia yake inayomfukuzia wachumba
 
vipi huyo dada anayejiapiza kwako kuna shida naye?

mkuu alinizoeaga akataka kupitiliza nilipostuka nikamwambia stop sitaki mazoea na ww tangu apo nimekuwa adui yake no 1 ni zaidi ya miaka 2 lakini akuna cku acyofatilia maisha yangu
 
Kumbe mnajuana kwa mengine??
Manaake wadau tulikua tunajiuliza kulikoni mbwa kutafutiwa mume, eti yeye ahuzunike na kutoa maapizo chungu mzima.
Thanks mkuu kwa kutuweka wazi
 
ookey kumbe mbwa jike unayemzungumzia c mbwa bali mtu!?
 
je mbwa jike anayezungumziwa ni wewe?! Maneno yako yananipa wasiwasi
 
lkn haki iko,siku moja ukweli utajulikana

hivi uckii nilichokwambia? au unataka nimwage mboga hapa mana naona tunatishiana nyau. Kwanini uckae kmya mpaka hyo cku ukweli utakapojulikana? Kelele za nini? tangaza biashara yako kama ulivyofanya.

MAISHA KUTAFUTA SIO KUTAFUTANA/KUCHAFUANA
 
je mbwa jike anayezungumziwa ni wewe?! Maneno yako yananipa wasiwasi

sio yy @angel naungumzia mbwa kabisa sasa cjui imeingiliana vp na yy cjui alitaka hyo tenda cjui ebu piga picha mwenyewe alopost yanaingiliana nn.
 
Kumbe mnajuana kwa mengine??
Manaake wadau tulikua tunajiuliza kulikoni mbwa kutafutiwa mume, eti yeye ahuzunike na kutoa maapizo chungu mzima.
Thanks mkuu kwa kutuweka wazi

yani cpati picha kabisa watu wakoje ii mradi kapeleleza kajua id yako jf bac anaona ndo sehemu ya kumwaga pumba zake m2 kaajiriwa afanyi kazi za ofc mda wote kufwatlia maisha yangu nakula nn, navaa nn, natoka na demu gani nk toomuch sasa nitamshugulikia ipasavyo
 
hapa kunatatizo kubwa sana hawa watu wanachafuana.
Nimeconnect dots nikagundua nyie mnajuana aidha mlikuwa wapenzi na mmekorofishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…