Jamani nahitaji kufahamu dawa yakung'arisha meno

Mu congomani

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
608
2,804
Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
 
Jambo kwa jumla mimi nikijana wa miaka 20 meno yangu yana rangi mbaya sa kama kuna mtu umu ana fahamu dawa ya kungarisha meno aniambiye
Onana na Dentist hiyo ndo kazi yao.
Angalia kama huyu yalivyokua na yalivyo baada ya kusafishwa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom