Ilonga Msalabani
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 111
- 36
- Thread starter
- #21
mkuu ajira za uhamiaji zimetoka!
changamkia shavu hilo kwanza halafu ndo uje na salary slip hapa ndo utawapata wengi tu!
watakuja wachumba, tena wenye kila aina ya sifa...!
shangaa lakini mimi sina kazi sina pesa... lakini.. qudadeki!!
Hahahahaaa, Mi nataka mke kwanza Bwana, kazi itakuja tu. Kama nimeweza kuishi kwa mission town muda wote huu, sitashindwa kulea mke. wadada, nasubiri applications. nimepokea kadhaa tayari. nafasi ni chache wahini jama...