Jamani mwnaza kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mwnaza kunani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by engmtolera, Nov 1, 2010.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,078
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kwani si tayari mwanza kuna nini kinaendelea? Tunaomba mtupe habari zaidi,na ikiwezekana waliopo mwanza lindeni kura kwa nguvu zozote zile kwani hata kama kikwete yupo mwanza hatuwezi kuvumulia kunyang'anywa jimbo
  peoplesssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrr


  mapinduziiiiiiiiiiii daimaaaaaaaaa
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  watu wanapigwa mabomu na serikali ya kifisadi ya Kikwete
   
Loading...